Baada ya Mwl. Mussa Iddy kulalamika, HESLB yatoa ufafanuzi kuhusu utaratibu wa urejeshaji mikopo

Nadaiwa mkuu Mimi wa asilimia 8% nili sign mikopo sasa nadaiwa 15% ya mkopo nje ya mkataba huo si wizi wa mchana kweupe kabisa
Hahahah hii ni sawa na ile ya kuagiza gari kwa kodi ya million 5 ilifika unaambiwa utalipa 12 sababu mwaka umebadilika. Haina mjadala😂
 
Hahahah hii ni sawa na ile ya kuagiza gari kwa kodi ya million 5 ilifika unaambiwa utalipa 12 sababu mwaka umebadilika. Haina mjadala[emoji23]
Yani ni shida hafu Ada yangu kwa mwaka ilikuwa milion Moja imagine hzo retention fee zibaji double tu. Huu ujinga wa mkopo ni janga
 
Na wenyewe utawasikia wakitoa gawio kwa serikali kwa pesa hii hii ya wizi wanayoita retention fee.
 

Hivi kumbe lilikuwa wazo la Nimrodi, au ndo sababu anateseka saivi!!
 
Yani ni shida hafu Ada yangu kwa mwaka ilikuwa milion Moja imagine hzo retention fee zibaji double tu. Huu ujinga wa mkopo ni janga
Hahahahah we utafikisha billion 47 kama mwenzio yule. Ushaanza kupunguza deni lakini?
 
Hahahahah we utafikisha billion 47 kama mwenzio yule. Ushaanza kupunguza deni lakini?
Sijaanza kwa hii Sheria za kiuonevu watajiju wenyewe ningetaka ningeanza kulipa Ila kwa utaratibu wa kulipa Deni na kutokupungua sijihangaishi
 
Retention fee ni pale serikali inapodai ila serikali inapodaiwa Kama malimbikizo ya haya maalimu areas hakuna retention fee.

MIALIMU bana.
Unapoint nzuri sana. Serekali inajali thaman ya pesa yao lakini wapo watu wanaidai serekali miaka na miaka lakini wakijalipa wanalipa kiasi kile kile pasipo kujali thaman ya pesa ilishashuka.
 
Silipi labda wanipe ajira bila hivyo silipi. Kama kulipa tuanzie mwaka 60mababu zetu walipo anza kusoma , je walilipa tuanzie hapo. Akina kikwete, lowasa, RIP S. Sita , Lipumba na wengineo . Kama hawakulipa sasa mm nitalipaje Sasa. Acheni uonevu nimekula hela zangu.
 
Jipe moyo kuna watu wa 2003 wanakatwa
 
6% ya retention fee kila mwaka huwa ni ya deni la awali au deni linalobaki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…