Baada ya Mzee Kikwete kusema yeye binafsi ndio aliteua yale majina 5 ya wagombea Urais 2015, nimekubaliana na demokrasia ya CHADEMA

Baada ya Mzee Kikwete kusema yeye binafsi ndio aliteua yale majina 5 ya wagombea Urais 2015, nimekubaliana na demokrasia ya CHADEMA

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
JK amesema kuna watu waongo wanavumisha kwamba yeye hampendi Hayati Magufuli hiyi si kweli kwa sababu yeye ndio aliliweka jina lake kuwa namba 1 kati ya 5!

Kikwete amesema alipokea majina 38 ya waombaji wa urais na yeye binafsi akayapitia na kupata orodha ya majina 5 ambayo aliyapeleka kamati ya ulinzi na usalama ya chama na kisha kamati kuu.

JK amesema aliliweka jina la Magufuli namba 1 na alilitetea hadi mwisho japo alipingwa sana.

Nilichogundua hakuna tofauti kubwa kati ya CCM na CHADEMA linapofika swala la nguvu za Mwenyekiti.

Kwamba nguvu ya Mwenyekiti ni zaidi ya demokrasia.

Kikwete na Magufuli walikuwa marafiki wakubwa na wake zao ni marafiki wakubwa vile vile.

RIP Magufuli
 
Ndio ugundue demokrasia sio muhimu.. Sometimes the popular thing isnt the right thing to do...
 
Back
Top Bottom