Baada ya Mzee Kikwete kusema yeye binafsi ndio aliteua yale majina 5 ya wagombea Urais 2015, nimekubaliana na demokrasia ya CHADEMA

Nilichoona seems JK aliamua kumleta JPM Ili tuu kuwanyoosha waliokuwa wanamuita dhaifu,refer nimewaletea chuma kinatema cheche.

Japo ni kweli kwamba kuna baadhi ya mambo hakupenda bw.Magu alivyokuwa anatenda ikiwemo kujisifia Sana yeye personal na kuwafanya wenzie as if hakuna walichofanya.

Nakumbuka hata marehemu mkapa alianza kuchukizwa na hiyo tabia ya Magu .
 
Hii kauli yake ingekuwa na maana zaidi kama angeongea kipindi Marehemu mzee Mkapa na Magufuli wakiwa hai.
Kwani humo ndani walikuwa yeye na mkapa tuu,si kamati ina wajumbe wengine na wapo wanaweza kueleza kama ni kweli au hapana.

By the way aongee kipindi hicho Ili muanze kumnanga kwamba ndie katuletea balaa nchini?
 
JK amejua kuwazuga na wapambe mmezugika kisawasawa. JK mgombea wake anajulikana hata mtanzania mwenye umri wa miaka 15 sasa anamjua maana 2015 alikuwa na miaka 9.
Hilo halina ubishi lazima uwe na plan B,kama mgombea wake hakuungwa mkono ulitehemea asiwe na plan B? Bila shaka Magu aliwekwa kama plan B Ili kuua makundi yao.
 
Kwa historia ya Tanzania mambo hayaendi hivyo.

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Si lazima kuambiwa kila kitu.... Mengine ni siri za chumbani hazitolewi na kiongozi imara huubeba mzigo hata kama ni wa misumari.
 
CHADEMA na CCM ni CCM B na CCM A
Huko Sawa kabisa mkuu
 
Sasa hivi hakuna wa kuithibitisha tena, huyo ndiye JK mtoto wa mjini na mzee wa mipango.
Hii kauli yake ingekuwa na maana zaidi kama angeongea kipindi Marehemu mzee Mkapa na Magufuli wakiwa hai.
 
Kijana una uwezo mdogo Sana WA kufikiria aiseeee.
 
Ni kweli mwenyekiti ana nguvu
 
Ile "TUTUME"ya JK ni kwamba utuombe ushauri tukusaidie nani anafaa na nani wa kutupa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…