Baada ya Nape, Makamba who's next, Bashe?

Baada ya Nape, Makamba who's next, Bashe?

Bashe alipata Baraka za baba mtakatifu Papa Francisco anayeketi Kitini pake Mtume Petro

Hawezi kuguswa 🐼
Hivi Shujaa wa Afrika kwa mujibu wa TBC Taifa kabla hajafariki aliwahi kukutana na Baba Mtakatifu aketiye kitini pa enzi? Au ndiye Rais pekee wa Tanzania kutokutana na khalifa huyo wa Kristo?

Kama hawakuwahi kukutana wamewahi kuwa na mawasiliano yoyote?

Bc: Askofu Niwemugizi
 
Hivi Shujaa wa Afrika kwa mujibu wa TBC Taifa kabla hajafariki aliwahi kukutana na Baba mtakatifu aketiye kitini pa enzi? Au ndiye rais pekee wa Tanzania kutokutana na khalifa huyo wa Kristo?

Kama hawakuwahi kukutana wamewahi kuwa na mawasiliano yoyote?

Bc: Askofu Niwemugizi
Papa Francisco ilikuwa azuru Tanzania May 2021 kwa mwaliko wa shujaa Magufuli

Baada ya kutwaliwa kwa shujaa Magufuli ndio ikabidi Mpendwa wetu mh Rais Samia azuru Vatican 🌹

Kanisa Moja Takatifu la Mitume 😄
 
Acha porojo we Mzee,

Unadhani unaongea na wajukuu zako sie!!
 
Africa tunahitaji sana GMO kumaliza tatizo la njaa na umaskini.
 
Shida kubwa ukiwa ccm kila kitu kikiletwa kuwe kibaya au kibaya zaidi Ili mradi kina maslahi kwao hawawezi Pinga. Hata ushoga watapitisha hao hao
 
Shida kubwa ukiwa ccm kila kitu kikiletwa kuwe kibaya au kibaya zaidi Ili mradi kina maslahi kwao hawawezi Pinga. Hata ushoga watapitisha hao hao
Usisahau Nyerere, Magu, Mzee Warioba ni CCM pia lakini hawako hivyo na hawakuwa hivyo.
 
Back
Top Bottom