Baada ya Nape, Makamba who's next, Bashe?

Baada ya Nape, Makamba who's next, Bashe?

Wanalazimisha kutumaliza Watanzania na Dunia Kwa kutuletea makorokoro!!
Mmejijua ninyi ni donOr country...hiyo ni insult kwa wanaowatakia mabaya!!! Sasa wanaondoaje hiyo mentally ya kuwa ninyi ni donOr kantri....! Yawezekana njia zipo nyingi! Usinirishe maneno.
 
Mmejijua ninyi ni donOr country...hiyo ni insult kwa wanaowatakia mabaya!!! Sasa wanaondoaje hiyo mentally ya kuwa ninyi ni donOr kantri....! Yawezekana njia zipo nyingi! Usinirishe maneno.
"Usinirishe maneno'" umemaanisha nini?
 
Ach
Bashe alipata Baraka za baba mtakatifu Papa Francisco anayeketi Kitini pake Mtume Petro

Hawezi kuguswa 🐼
acha kufanya kufuru kwa kiongozi wa kiroho wa Kanisa Moja TAKATIFU KATOLIKI LA MITUME!!!

Hiyo ni abusive, ni dhihaka kwa Kanisa 🤔🤔
 
Back
Top Bottom