maranguvillage
JF-Expert Member
- Sep 8, 2023
- 935
- 2,096
Typing error mkuuHas an end
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Typing error mkuuHas an end
Pesa za mikopo hizo,BBT Chinangali Dodoma naona kama kumekufa vile
Gmo zimeletwa na bashe?Jikite kwenye mada,
Ni halali kutuletea GMO kwenye KILIMO chetu,
Na ameruhusiwa na nani Nchi hii, Kwa Utafiti upi?
Ndio Mpango alionao.Gmo zimeletwa na bashe?
Hata ww au umekamtwa na watu amabao hawawezi julikanaWamle kichwa tuu analeta mazoea kazini 😆
Chawa mnapinganaSiyo rahisi kama unavyofikiria
Bashe na Rostam Aziz ndio waliiwakilisha CCM Kwenye mazishi ya kitaifa ya Lowassa 🐼
Member 😄Chawa mnapingana
Bashungwa ni waziri Smart upstairs, mwaminifu, mchapakazi, mnyenyekevu,Labda ndugu Bashungwa
Waambie ukweli 😄 🤣 😂Hamna lolote bora mfe wote tu ama mtolewe kafara ama muwe watumwa. Hamna mchango wowote duniani. Na mkisoma mnakariri mkishapata vyeti ni kuiba tu.
Hatari kubwa sana hiiTamaa yake imevuka mipaka, baada ya kutuletea sukari yenye ubora hafifu, Leo Hadi GMO anataka kutuletea,
Amelipwa Bei Gani kutuhujumu Watanzania?
Mmejijua ninyi ni donOr country...hiyo ni insult kwa wanaowatakia mabaya!!! Sasa wanaondoaje hiyo mentally ya kuwa ninyi ni donOr kantri....! Yawezekana njia zipo nyingi! Usinirishe maneno.Wanalazimisha kutumaliza Watanzania na Dunia Kwa kutuletea makorokoro!!
Block farmingBBT Chinangali Dodoma naona kama kumekufa vile
"Usinirishe maneno'" umemaanisha nini?Mmejijua ninyi ni donOr country...hiyo ni insult kwa wanaowatakia mabaya!!! Sasa wanaondoaje hiyo mentally ya kuwa ninyi ni donOr kantri....! Yawezekana njia zipo nyingi! Usinirishe maneno.
acha kufanya kufuru kwa kiongozi wa kiroho wa Kanisa Moja TAKATIFU KATOLIKI LA MITUME!!!Bashe alipata Baraka za baba mtakatifu Papa Francisco anayeketi Kitini pake Mtume Petro
Hawezi kuguswa 🐼
Dogo bado unaendelea kusoma vitabu? Vitabu na mawazo yalioandikwa na wanaume wengine?Hatari kubwa sana hii
Mkuu serikali yetu figisu nyingi, waaminifu na wachapa kazi hawawezi kudumu humo.Bashungwa ni waziri Smart upstairs, mwaminifu, mchapakazi, mnyenyekevu,
Aende wap ss!!