bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
LipoKwani polisi pale hakuna dawati la jinsia?
Mkuu good,Iko hivi mkuu, ni mke wa jamaa yangu yy si mtu wa mitandao.nilishawahi kulileta humu. Aliondoka na kubeba vyombo vya ndani vyote na kuvunja simu ya jamaa, haikutosha akakimbilia polisi ndio kumuelekeza ustawi.
Jamaa aliitwa ustawi akasema yy pamoja na yote bado anataka walee mtoto pamoja. Mwanamke akakataa kuwa anataka aishi maisha yake. Akahitaji alipwe kiasi cha fedha kila mwisho wa mwezi maana jamaa yupo serikalini. Jamaa akadai yupo tayari kumtunza mtoto lakini si kwa kupangiwa kama ambavyo Mwanamke anadai
Ustawi kuona msimamo wa wanamke wakaamua warudishe kwanza maamzi kwa wazazi. Wazazi wamegoma kutoa uamzi wamemwambia binti yao arudi ustawi. Ndio jamaa kapokea witonwa kurudi tena ustawi
Anayeumia ni chalii sio mimiWe mbwa koko umetumwa. Basi hapati hata mia
Hakuna kumchekea nyani bloangu,si umemsikia kanijibu kuwa hapati hata mia.steveachi njoo ujifunze waungwana wanavyojibu maswali.
So unamshauri nini kulingana na swali lake au mke hajaenda ustawi kuvunja ndoa ila anadai matunzo ya kijana wao?.Mkuu good,
Pole kwa changamoto iliyokupata .
Kwanza hata kama angekuwa bado yupo na wewe si haki mwanamke kusema anataka matumizi ya mtoto kiasi gani, kadhalika hata kama amekimbia hawezi kukupa standard ya kiasi cha pesa cha kuhuumia mtoto.
Kama alivunja ndoa na kuondoka nafikiri mngekuwa mmefika ustawi na kufahamu taratibu za kutunza mtoto wenu.
Pole sana uwanaume ni changamoto.
Haya bhana, ila unapomchana ukweli matusi unaweza ukayaacha tu, ukatumia lugha za kiungwana.Hakuna kumchekea nyani bloangu,si umemsikia kanijibu kuwa hapati hata mia.
Sasa mtu kama huyo pamoja na ushauri huo ulioniletea wa kiungwana anatakiwa kujibiwaje manake inaonekana kaupuuza kwani ni wazi inanyesha tayari alishakuwa na maamuzi yake kichwani hapa alikuja kutuchora tu.
Ndio maana watu wa dizaini hii hakuna kumung'unya maneno,ni kuwachana ukweli tu ili baadae asije sema hakuambiwa
Hakuna tusi pale,kutomuhudumia mtoto kuambiwa vile ni sawa tuHaya bhana, ila unapomchana ukweli matusi unaweza ukayaacha tu, ukatumia lugha za kiungwana.
Tukiachana na mambo ya haki. Je we unaona ni sawa Mtoto wako ashinde njaa usimhudumie chochote kile kisa tu Mama yake ndio aliamua muachane??Ni haki kutoa matunzo ya mtoto kwa kiasi akitakacho mwanamke alieamua kuvunja ndoa na kuondoka na mtoto?
Kwa hiyo na wwe ukiamrishwa na Mkeo kiasi cha matunzo hata kama hukubaliani nacho utatoa kisa ana mtoto wako!? Utakuja shangazwa mtoto si wako siku moja! Hoja ya mtoa maada kwa nini Mwanamke ndiyo apange kiwango badala ya Mamlaka husika!??We mpumbavu nini,mtoto anahusikaje na ugomvi wenu?
Timiza wajibu wako acha kutaka kukwepa jukumu lako la kumlea uliyemleta duniani.
Ningekuwa karibu na wewe ningekulamba bonge la klebu,kmmq
Una bahati sana
Ila Mwanamke hamtaki Mwanaume!!Jmaa huyo anataka waendele kulea mtoto yaani wakae nyumba moja?
Jamaa yako fala sana,anampisha Mwanaume mwenzie ndanii ya nyumba yake,alafu yeye anaenda kupanga!! Hahaaaa!!!Anasema ikiwezekana amwachie nyumba yy jamaa akapange
Kuna wakati maisha yanakuta uwe fala ili uishi kwa amani ya nafsi. Vinginevyo ndio ile ya kugawana majengo ya serikaliJamaa yako fala sana,anampisha Mwanaume mwenzie ndanii ya nyumba yake,alafu yeye anaenda kupanga!! Hahaaaa!!!
suluhu muoeSalaam,
Nianze kwa kutoa background fupi kati ya mimi na mzazi mwenzangu.
Ni mwanamke ambaye nimezaa nae mtoto mmoja, kipindi amejifungua alikuwa akiishi kwa wazazi wangu mkoa tofauti na ninaoshi (nilifanya hivyo kuwa kuwa nilikuwa kwenye utafutaji, hivyo sikuwa mtu wa kutulia).
Baada ya muda aliamua kuondoka na kwenda kwa wazazi wake, sikuwa na shida na hilo kwa kuwa nilitaka akae mahali anapoona ana uhuru, niliendelea na bado naendelea kutoa fedha ya matumizi kwa mtoto. (yeye anajishughulisha kupata chochote kwa matumizi yake binafsi)
Ila sasa imefika hatua ambapo naona ananifanya mgodi wa fedha kwa kuongeza gharama ya vitu visivyo vya lazima kwa mtoto jambo ambalo lipo nje ya uwezo wangu.
Lengo la uzi huu naomba kujua je, Nitakuwa sawa kisheria kusitisha kumpa fedha ya matumizi, badala yake anitajie mahitaji ya mtoto kwa mwezi ninunue hivyo vitu mwenyewe na kumpatia?
Hongera sana kwa kupunguza utitiri wa Comment za mashetani 🤣 🤣suluhu muoe
Hama mtaani kwangu naona mabinti wengi sana wanazalishwa sasa najiulizaga sana. Sheria inamlinda vipi huyu mtoto?wewe lea tu mzee kama umeamua kujitosa jitose mazma sio nusu nusu