Baada ya ndoa, mume anataka kinyume na maumbile

Wanawake ni waongo tu,anamsingizia tu huyo Mwamba ili ndoa ivunjike
 

Nani a take mtenda hivyo mke wake mimi siamini
 
Kuna wanaoshikiwa panga kabisa

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Bikra haitolewi kwa tendo pekee, inatolewa hata bila tendo, Mume anatakiwa aelewe hivyo ingawa kwa kizazi hiki 99.99% wanaanza kunyanduana mapema sana pindi wanapopevuka tu.

Jamaa anaonekana huwa anafanya huu mchezo tangu mwanzo ndio maana hana aibu kusema anataka sifuri.
 
Kama mzazi itabidi ukae nae sehemu umdadisi alianzaje kuingia 'kusiko'. Mpe uhuru akueleze kinagaubaga hapo utapata suluhisho.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Maana ya bikra ni nini Dr.
 
Mambo gani yaliyomshinda ndani ya kipindi kifupi hivyo? Au wewe ndio bodaboda mwenyewe unajitetea
Kuna wanawake hata kufanya usafi kupika hawawezi kabisa, kitandani ni kama gogo tena hisia sufuri kwa hali hiyo hata ndani ya wiki utamgundua, nayeye lzm akimbie kwa kutafuta kisingizio cha uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…