Baada ya ndoa, mume anataka kinyume na maumbile

Baada ya ndoa, mume anataka kinyume na maumbile

Mimi Kama mzazi nitahtaji ushahidi Mana siwezi ingilia faragha yawatu kosa kisheria kwanza nitampa kifaa chakumrekodi mumeo wakati anataka kula njia inayotolea mpini mkubwa usio na batani kifungo
 
Habarini za Muda huu

Kuna mkasa nimeusikia wa nyumba ya jirani location nayokaa Dirisha langu ni kibarazani kwa jirani yangu Mmama mwenye familia na watoto na wadogo zake kadhaa. Ila kubwa kabisa ni kuhusu mdogo wake wa kike aliyeolewa yapata mwezi mmoja uliopita na dereva bodaboda

Bidada ameamua kurudi kwa dada yake baada ya ndoa kumshinda anadai baada ya kuolewa tu mume wake akawa anataka ampe kinyume yaani ampatie Tigo bidada amekataa kutoa mumewe analazimisha sababu hajamkuta bikra basi anataka atoe ya nyuma na yeye.

Hilo suala nimelisikia nikashtuka kidogo nikahisi naota kusikiliza kwa makini ni kweli dada mtu kamshauri mdogo wake alifikishe kwa wazazi wa mwanaume.

Hivi kama mzazi unaletewa case mwanao anataka kumla nyuma mkewe utajisikiaje?
Dhana potofu ya mpalange kutokana na ushawishi wa vijana mtanadaoni imewaathiri wengi ,suluhuisho uyo mume apelekwe kw wazee ashauriwe lasivyo ugomvi na mapigano yataanza
 
Back
Top Bottom