fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Wewe vipi, mbona hii ni wewe ndio unataka kws mpalangeHabarini za Muda huu
Kuna mkasa nimeusikia wa nyumba ya jirani location nayokaa Dirisha langu ni kibarazani kwa jirani yangu Mmama mwenye familia na watoto na wadogo zake kadhaa. Ila kubwa kabisa ni kuhusu mdogo wake wa kike aliyeolewa yapata mwezi mmoja uliopita na dereva bodaboda