Yaani unaniletea definition ya
Jokajeusi? Bikra ni mtu ambaye hajaanza ngono full stop. Hicho alichosema yeye ni ushahidi kuwa mtu ni bikra...
Nimerudi, soma hapa tena halafu tumpe pongezi Device Dodo wa Twitter!!
UBIKIRA KWA MSICHANA (FEMALE VIRGINITY)
Je wajua???
[emoji117]Watu wengi hili swala huwapa shida sana na wengi wetu huamini kuwa ili kujua msichana ni bikira/Virgin lazima atoke damu (bleeding) siku ya kwanza ya tendo la NDOA, hivyo basi baadhi yao kutokutoka damu hupunguza Uaminifu kwa wapenzi wao.
Hii sio kwelii..
-[emoji117]Ukwel kuhusu bikira, ili kujua kwanini baadhi ya wasichana hutoka damu na wengine hawatoki damu, unapaswa kujua kwanza nini maana ya KIZINDA (HYMEN).[emoji116]
Kizinda ni ngozi /kiwambo chembamba ambacho huziba/huzunguka kuta za Uke na uwepo wa Kizinda ndio hufanya msichana kuonekana bikra, na hii hutofautiana kwa kila msichana kuna aina za vizinda Vyembamba na Vipana na "SIO KILA MWANAMKE ANA KIZINDA".
Inakadiriwa kuwa 63% ya wanawake wana vizinda Vyembamba kwahiyo hawawezi kutoka damu/bleed siku ya kwanza ya tendo la ndoa.
Na wengine Bikra zao hutoka kulingana na maisha yao ya kila siku kama vile kuendesh baiskeli na shughuli zingine nzito za nyumbani n.k , pia kadri umri unavyozidi kuongezeka bikira hutoka yenyewe kuanzia miaka ya 20+ na hii ni kulingana na tafiti iliyofanywa na British medical journal.
Kwa hiyo haya makundi yafuatayo -wasiokuwa na vizinda Wenye vizinda vyembamba,
-Na kulingana na maisha ya kila siku
Hawa wasichana hatutegemei watokwe na damu (bleed) siku ya kwanza ya tendo la NDOA
USHAURI KWA VIJANA WENZANGU
[emoji117]Usimuache mtu wako sababu ya kukosa bikira na pia wewe dada yangu usiwaze kabisa kuhusu hili yawezekana upo kwenye makundi hayo juu ilihali hujawahi shiriki tendo [emoji2] ni hali ya kawaida.