balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Wanawake ni waongo tu,anamsingizia tu huyo Mwamba ili ndoa ivunjikeHabarini za Mda huu
Kuna mkasa nmeusikia wa nyumba ya jirani location nayokaa Dirisha langu ni kibarazani kwa jirani yangu Mmama mwenye familia na watoto na wadogo zake kadhaa.
Ila kubwa kabisa ni kuhusu mdogo wake wa kike aliyeolewa yapata mwezi mmoja uliopita na dereva bodaboda
Bidada ameamua kurudi kwa dada ake baada ya ndoa kumshinda anadai baada ya kuolewa tu mmewake akawa anataka ampe kinyume yaani ampatie Tigo bidada amekataa kutoa mmewe analazisha sababu hajamkuta bikra basi anataka atoe ya nyuma na yeye
Hilo suala nmeliskia nikashtuka kidogo nikahisi naota kusikuliza kwa makini ni kweli dada mtu kamshauri mdogo wake alifikishe kwa wazazi wa mwanaume.
Ivi kama mzazi unaletewa case mwanao anataka kumla nyuma mkewe utajisikiaje