Baada ya ndoa, mume anataka kinyume na maumbile

Mkuu nakuunga mkono100% kwasababu wanawake wakimchukia mwanaume kwasababu yoyote huwa wanaonge uwonge mkubwa mno, kuna jirani yangu alikuwa anafanya kazi kampuni moja ya kitalii mwaka juzi covid ilipokuwa sirius alijikuta hana kibarua baada ya mwaka mke akaanza seke seke lake kwamba jamaa huwa akienda kula vyombo na wenzake anawala kusiko mwishowe ndoa iliishia hapo hivyo tuwe makini sana na izi tetezi
 
Hiyo ni moja ya sababu ya ndoa kuvunjika, aachane nae tuu maana atapoteza thamani na utu wake kwa huyo mwanaume. Naunga mkono ndoa kuvunjika mimi sipendi ujinga.
 
Sawa mtu asie jua wanawake ndo wa kuamini, ila wanawake ni wa wongo ile mbaya, hawana haya kusingizia jambo zito lolote ili aaminike kwa jamii, baada mambo yake ya kibuma unaona ana omba msamaha kurudi kule kule aliko sema vibaya loh achana na hicho kiumbe.
 
Kwa dunia ya leo usishangae hata wazazi wasistaajabu na kumwambia binti kwa nini usimpe mwenzio au unataka aende kutafuta nje.

Hii dunia ishapoteza maadili kiasi cha kila haramu kuwa halali.
 
Wazee wa 2sim card.
Sasa Alkuwa wapi siku zote?

Uneolewaje bila kujua kama anapenda mfuniko wa nyuma?

Alianzia wapi hiyo tabia?

Sema mwamba nae dah! Wife hatumii hiyo milango ya kuzimu mbona unampa wakati mgumu sana. Embu muonee huruma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…