Baada ya ndoa, mume anataka kinyume na maumbile

Baada ya ndoa, mume anataka kinyume na maumbile

Wanawake 90% ni wa ongo kuhusu hilo suala, mambo mengine ya msingi yana wa shinda kwenye ndoa na hawawezi ndoa kwasabb ya kukosa malezi wana anza kusingizia kuombwa Tigo, mleta mada usiwe mbaya kama hiyu mke wa boda boda, never take a woman words serious are typical liars.......
Mkuu nakuunga mkono100% kwasababu wanawake wakimchukia mwanaume kwasababu yoyote huwa wanaonge uwonge mkubwa mno, kuna jirani yangu alikuwa anafanya kazi kampuni moja ya kitalii mwaka juzi covid ilipokuwa sirius alijikuta hana kibarua baada ya mwaka mke akaanza seke seke lake kwamba jamaa huwa akienda kula vyombo na wenzake anawala kusiko mwishowe ndoa iliishia hapo hivyo tuwe makini sana na izi tetezi
 
Hiyo ni moja ya sababu ya ndoa kuvunjika, aachane nae tuu maana atapoteza thamani na utu wake kwa huyo mwanaume. Naunga mkono ndoa kuvunjika mimi sipendi ujinga.
 
Mkuu nakuunga mkono100% kwasababu wanawake wakimchukia mwanaume kwasababu yoyote huwa wanaonge uwonge mkubwa mno, kuna jirani yangu alikuwa anafanya kazi kampuni moja ya kitalii mwaka juzi covid ilipokuwa sirius alijikuta hana kibarua baada ya mwaka mke akaanza seke seke lake kwamba jamaa huwa akienda kula vyombo na wenzake anawala kusiko mwishowe ndoa iliishia hapo hivyo tuwe makini sana na izi tetezi
Sawa mtu asie jua wanawake ndo wa kuamini, ila wanawake ni wa wongo ile mbaya, hawana haya kusingizia jambo zito lolote ili aaminike kwa jamii, baada mambo yake ya kibuma unaona ana omba msamaha kurudi kule kule aliko sema vibaya loh achana na hicho kiumbe.
 
Habarini za Mda huu

Kuna mkasa nmeusikia wa nyumba ya jirani location nayokaa Dirisha langu ni kibarazani kwa jirani yangu Mmama mwenye familia na watoto na wadogo zake kadhaa.

Ila kubwa kabisa ni kuhusu mdogo wake wa kike aliyeolewa yapata mwezi mmoja uliopita na dereva bodaboda

Bidada ameamua kurudi kwa dada ake baada ya ndoa kumshinda anadai baada ya kuolewa tu mmewake akawa anataka ampe kinyume yaani ampatie Tigo bidada amekataa kutoa mmewe analazisha sababu hajamkuta bikra basi anataka atoe ya nyuma na yeye

Hilo suala nimeliskia nikashtuka kidogo nikahisi naota kusikuliza kwa makini ni kweli dada mtu kamshauri mdogo wake alifikishe kwa wazazi wa mwanaume.

Hivi kama mzazi unaletewa case mwanao anataka kumla nyuma mkewe utajisikiaje?
Kwa dunia ya leo usishangae hata wazazi wasistaajabu na kumwambia binti kwa nini usimpe mwenzio au unataka aende kutafuta nje.

Hii dunia ishapoteza maadili kiasi cha kila haramu kuwa halali.
 
Wazee wa 2sim card.
Sasa Alkuwa wapi siku zote?

Uneolewaje bila kujua kama anapenda mfuniko wa nyuma?

Alianzia wapi hiyo tabia?

Sema mwamba nae dah! Wife hatumii hiyo milango ya kuzimu mbona unampa wakati mgumu sana. Embu muonee huruma.
 
Back
Top Bottom