ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Nchi pekee yenye sauti kwa Hamas ni Iran labda na Qtaar na Uturuki kwa mbali.
Urusi hana ushirika wowote wa kijeshi na Hamas bali wana ushirika wa kisiasa tu hivyo hana msaada wowote kwa hamas mpaka aseme jambo liwe na uzito mbele Hamas.
Kweli taifa teule limeshikwa pabaya sana sasa hivi wameanza kuomba msaada kwa Urusi kukomboa mateka.