Baada ya Netanyahu kumkaripia Putin, Urusi yatoa amri HAMAS waachie mateka

Baada ya Netanyahu kumkaripia Putin, Urusi yatoa amri HAMAS waachie mateka

Uchokozi wa Hamas ndio umewaponza watoto,kwani baada ya kuua watu zaidi ya 1000 walitegemea wangeimbiwa nyimbo za pongezi?,kwenye vita vifo haviepukiki.
Kwahiyo anachoendelea kukifanya sasa hivi Israeli kina tafsiri gani baada ya huko kuchokozwa? Ni kwamba Anawalipizia kisasi hao Hamas kwa kuuwa watu wake hao 1000 ndio nae anauuwa hadi hivyo vitoto huko Palestina au vp?

Hili taifa teule lilitakiwa liishi kwa amani bila mashaka, sio hivyo pa kuishi tu ni pa kugombea.
 
Back
Top Bottom