Safi sana,Israel taifa teule.
Ni taifa la Mungu lakini Israel ni taifa teule.Na nchi yako ni taifa la shetani sio?
Wa Israel wamejaliwa na Muumba, hata kama hupendi. Kwa ufupi aliyekupa wewe akili ndogo ndiye aliwapa wao u-genious. Ni mapenzi yake na huwezi kihoji.Na wewe usiwe punguani Mungu amekupa akili wewe kila uharo unamezeshwa tu.
Alianza lini kuwapa u-genious,karne ya 20 au kabla!?..maana skins newton, galileo, archimedes nk hawakuwa wayahudiWa Israel wamejaliwa na Muumba, hata kama hupendi. Kwa ufupi aliyekupa wewe akili ndogo ndiye aliwapa wao u-genious. Ni mapenzi yake na huwezi kihoji.
Quote
Anaamini kila ujinga...Na wewe usiwe punguani Mungu amekupa akili wewe kila uharo unamezeshwa tu.
Endeleeni kudanganyika, taifa teule linauwa watoto, wamama, wazee! Poleni sanaNi taifa la Mungu lakini Israel ni taifa teule.
Vita havina macho mkuu,walengwa ni magaidi na yanasagwa haswaa,lakini kwa upande mwingine raia wasio na hatia wanaponzwa na haya magaidi.Endeleeni kudanganyika, taifa teule linauwa watoto, wamama, wazee! Poleni sana
Na yule asiyenacho, hata kile kidogo alichonacho atanyang'anywa. Daadek.!Mwenye nacho ataongezewa
Duuu mara ya mwisho kupost mada hapa jamiiforum ni zaidi ya miezi 8 imepita sasa hiyo mada unayonilisha nilipost wapi ? Ebu angalia Kwanza profile yangu utaona mara ya mwisho kupost mada ni liniMkuu naomba uwe consistence na taarifa zako; kuna thread umetuambia Israel imekomboa mateka 250 wakati mateka wanaoshikiliwa na Hamas ni 138 tu, sasa hivi unatuambia Urusi imeiamuru Hamas iachie mateka wote, sijui baadaye kidogo utatuambia nini. Unatulisha matango pori sana. Nimetoka kuangalia Aljazeera muda huu wansema Hamas hawatawaachia mateka mpaka pale Israel atakapositisha mashambulizi. Sasa hao mateka waliokombolewa na Israel ni wepi?
Mzee? Ni kosa la kiuandishi au? Wakunya ndo watu gani? Mbona hakuna mtu chini ya jua hili asiyekunya?Wakunya wengi hawana akili alafu wanasumbuliwa na njaa.
Ndio Gaza sasa wanainyang'anywa sasaNa yule asiyenacho, hata kile kidogo alichonacho atanyang'anywa. Daadek.!
Exactly YES.Ndio Gaza sasa wanainyang'anywa sasa
Taifa teule linagombea pa kuishi linaishi kwa mashaka, sasa hivi analazimika kuuwa hadi vitoto vidogo huko katika hali ya kujilinda.Ni taifa la Mungu lakini Israel ni taifa teule.
Sorry Mkuu nilikuquote wewe kwa bahati mbaya. Nilikuwa namjibu huyu MK254 ambaye ndiye alipost hizo habari.Duuu mara ya mwisho kupost mada hapa jamiiforum ni zaidi ya miezi 8 imepita sasa hiyo mada unayonilisha nilipost wapi ? Ebu angalia Kwanza profile yangu utaona mara ya mwisho kupost mada ni lini
Uchokozi wa Hamas ndio umewaponza watoto,kwani baada ya kuua watu zaidi ya 1000 walitegemea wangeimbiwa nyimbo za pongezi?,kwenye vita vifo haviepukiki.Taifa teule linagombea pa kuishi linaishi kwa mashaka, sasa hivi analazimika kuuwa hadi vitoto vidogo huko katika hali ya kujilinda.
Bora hata Tanzania tunaishi kwa Amani.