Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Pengine watu wanataka labda nisimulie kama movies wakilenga labda mwisho wa story utakuwa wa namna fulani ni ngumu sana kwa maisha ya kawaida kwani hayajui sterling ni nani kule juu kunawengine walijitungia story yao mpaka ikaisha

Lakini mimi nimesema nasimulia matukio tu niliyoyaona kwa macho yangu sio bongo movie au sinema za kichina

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ungetupa episode moja kabla hatujalala

One love
 
Pengine watu wanataka labda nisimulie kama movies wakilenga labda mwisho wa story utakuwa wa namna fulani ni ngumu sana kwa maisha ya kawaida kwani hayajui sterling ni nani kule juu kunawengine walijitungia story yao mpaka ikaisha

Lakini mimi nimesema nasimulia matukio tu niliyoyaona kwa macho yangu sio bongo movie au sinema za kichina

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah bonge LA story

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbuka aliambiwa asionekane na mtu yoyote.
Pia kuku afe but wakati anakimbia kuku akawa kama anahangaika means kuku hakukata roho.
Sina uhakika Ila nahisi hayo yalimuongezea matatizo zaidi. Lets wait and see.
Hapo kasema kuku alikata roho kabisa nahisi ni ule mshtuko na uoga ndo jamaa akahisi kuku kataka kupaa tena dahh...

Sipati picha jamaa alivyochanganya mbaliga zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oky Inaendelea....



Kisha damu zikaanza kumwagika kila sehemu nikamaliza nikawa nasubiri kuku akate roho ilichukua muda kidogo hadi kuku akatiulia kisha nikachuku ule udongo nikamwaga kwa juu nikachukua jiwe nikaweka kwa pembeni nikivyoona nimemaliza kila kitu nilichukua kuku nikatoka mbio kama Emanuel kipchonge wa kenye kuelekea njia panda ile sehemu ambayo boda boda wanapaki

Cha ajabu ile nimepiga kama atua tano nilisikia kicheko kikubwa kinatoka nyuma yangu halafu nikasika mkononi kama yule kuku anaangaika anitoke mkononi asee nilikimbai wala sikuangalia nyuma hadi njia panda huku tochi nikiwa nimezima hata siku fika kabisa nilitupa nakukimbia hadi getto kufungua mlango nilimkuta agustino kasha maliza kila kitu



Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂😂nimecheka kifala Saint Anne
 
Baada ya siku nyingi kupita leo nimemkumbuka rafiki yangu kipenzi ambaye alipatwa na matatizo makubwa katika safari yake yakusaka maisha miaka kama 5 iliyopita tukiwa kidato cha sita yaani kila nikikumbuka nabaki kulia tu.

Wakati naripoti shuleni nilikuwa nimechelewa kidogo baada ya kufika pale kutokana na jitihada zangu za masomo darasani nilitokea kuelewana na jamaa mmoja alikuwa anaitwa agustino yeye alikuwa anasoma hge mimi nilikuwa egm masomo mengi tulikuwa tunaendana tukawa tunadiscuss pamoja

Kumbe jamaa huyo agustino alikuwa amejisajili kama private candidate so alikuwa anatokea kitaa kuja shuleni baada ya urafiki kuzidi nikawa natoroka mara kwa mara tunaenda kukaa getto na kupiga story pamoja na masela wengine

Kifupi wakati ule nilikuwa na kama miaka 18 lakini kutokana na mwili wangu tulikuwa tukitembea nae unaona kama mimi nimkubwa maana alikuwa anamwili mdogo mdogo sana

Wakati natoka nyumbani nilikuwa bado sina mawazo kichwani ya kuwa na pesa nyingi nilichokuwa naona mbele yangu ni namna gani nitafaulu kidato cha sita michongo ya pesa niliowahi kufanya ilikuwa ni vibarua vya kawaida kitaa

Lakini jamaa yangu alikuwa ni mtu wa mishe mishe nyingi kila akikaa lazima apigiwe simu, tukiwa tunaongea lazima apige story za maswala ya pesa. Wallet yake akitoa hela unaona imejaa misimbazi nikawa najiuliza jamaa hizi hela anatoa wapi nikabaki kusema labda kwao watakuwa wanajiweza sana, japo ukimuangalia vizuri haonekani kama katokea kwenye rich family.

Getto alipokuwa amepanga lilikuwa limesheheni kila kitu,
Mtaani pale alikuwa amezoeleka na watu wengi chocho nyingi akawa ananionyesha sasa kuna siku weekend kaniambia nimsindikize akachukue pesa yake kwa jamaa yake mmoja.

Alinipitia pale shuleni tukaondoka kuelekea kwa huyo jamaa shule tuliokuwa tunasoma iko maeneo ya kijijini so tulukuwa tunapita njia za vichakani chakani kuna mashamba wanalima nyanya, na matikiti maji nyumba ziko mbali mbali sana.

Baada ya kuvuka kamto tufika kwa yule jamaa mimi ikabidi ni baki njee halafu jamaa mwenyewe kumuona umri ulikuwa kama umeenda hivi ,alikuwa na zaidi ya 50 year tulisalimiana wenyewe wakaingia ndani lakini kwa njee nilisikia kama mabishano ambayo sikujua wanazungumzia nini....
Nenda katubu
 
Back
Top Bottom