Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Ilikendelea unistue aseee
 
Wewe ni mkali aiseee...[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shule ipo mashambani, vichakani
Huko hukohuko kijijini kuna tax
We na Muddy mlitembea umbali gani kwenda kumpokea boss wa Bangi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ningekuwa na uwezo ningekutajia jina la shule lakini siwezi, shule iko njee ya mji barabara kuu zinapita mpaka kwenye mashamba ya watu.

Shule yetu ilikuwa karibu na centre unakuta vijana wamejaa wanapiga boda mazingira yaliyobaki ni nyumba moja moja na mashamba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Story kali na ni nzuri sana tunaisubiria tujue jinsi gan ulikuwa drag dealer na kukimbizana na cops
Mkuu sikuwahi kuwa drug dealer au kukimbizana na polisi kisa hiyo mishe ndomaana kunajamaa hapo juu anadhani ni hadithi ya alinacha akaamua aweke muendelezo wake mimi nasimulia nilichokiona na macho yangu na wala sii story ya kutunga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee baba tunasubil Fanya uanze Kuandia bac
 
Njia yenyewe tayari ina giza, iweje uone uone/ upate mali kwa njia hiyo?
 
Aiseeeee leta Leta mkuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…