Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Wataalamu mje apaaa Mimi mkuu huu ujuzi sina

Sent using Jamii Forums mobile app
 


We endelea tu kuvuta bangi ipo siku utaoteshwa nani kati ya baba na mama yako wa kumtoa kafara, utafanikiwa tu.
 
Dah....

Usiombee kuzaliwa jogoo wa kafara, kuchomwa chomwa na spoku mwili mzima hadi ufe
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usimuonee bure mtoto wa mtu, mazingira ya Dar ndiyo yanamfanya awe hivyo, tena huyo navaa hata kikuku.
😁😁😁😁Hata mm huwa nawashangaaga Sana Hawa wanaume wa dar unakuta mtu anavaa suruali ya kubana mpaka matak**o yanajichora na bado anafeel comfortable kabsa..... bwana awarehem Hawa ndugu zetu
 
sasa binti mbona mnakuja kuchafua uzi wa watu, ndio hasira za kususa ..si mmesema mmesusa , sasa umesusa kumbe wataka [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu jaribu ku control emotional zako

Watu kama hao sio wakujibizana nao

Huwezi kujua nini kinamsumbua moyoni

Jinsi unavyoendelea kumjibu unapooza nafsi yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…