Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Nimesoma yote mwanzo mpaka mwisho, nilianza saa mbili zilizopita. Wale wanaotaka summary mnafeli wapi? Ni uvivu ama nini sasa.
Natamani hata nirudi sasa nikasome comments[emoji23][emoji23][emoji23]mana nilikuwa nalenga story tu

Sent from my Infinix X559C using Tapatalk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh Jooh, fanya kui type whatsapp kisha paste ndefu ndefu,tunaonja onja tunadata,tangu saa kumi na mbili nachungulia nakuta comments tu za raia.
Cuz tunataka kujua ulichemka wapi ili watu tukarekebishe,tuukwae ukwasi.Tushasali sana,tusha bukua sana hatuoni changes, time ya upande wa pili imefika[emoji2][emoji2].Tushapiga magoti sana,wewe unajua hiyo hali ulivyokuwa ukilia kwa afisa elimu kisa ada,unajua mwanaume kamili ukipiga magoti feelings yake inavyouma....ni kama kupigwa nyungu kisha wanaongeza jiwe jingine,haujakaa sawa jiwe jingine haujakaa sawa jiwe jingine mara "eeee mamaaa wananiuaaa[emoji23][emoji23][emoji23]"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kosa la kwanza ,uepuke kukaa nyumba kama alokaa agustino, ,2. Uwe makini kwenye kuchagua sehemu ya kuchimbia mbegu ,

Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
 
Hivi jamaa asingekuwa na koneksheni na mpishi angeishije na njaa ile [emoji848]

Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
Huyu msimuliaji anakifua hivi ungekua wewe ungeweza kutokusema jambo kwa mpishi? Ukizingatia tension aliyokua nayo, ila kila anapotaka kumshirikisha mpishi ishu ya Agustino anaweka pause!! Anakula zange bangi na uji anaondoka zake huyu jamaa jasiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu msimuliaji anakifua hivi ungekua wewe ungeweza kutokusema jambo kwa mpishi? Ukizingatia tension aliyokua nayo, ila kila anapotaka kumshirikisha mpishi ishu ya Agustino anaweka pause!! Anakula zange bangi na uji anaondoka zake huyu jamaa jasiri

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii story ukisoma ukiwa umetuliza akili haswa unaweza jikuta ww msomaji ndo unayedata mana heka heka ni nyingi na haina mapumziko , yani bandua tatizo ongeza tatizo, wacha mtu amiliki chochote kile sitamwonea wivu mana sijui kapitia mangapi ,

Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
 
Back
Top Bottom