Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Nimesoma yote mwanzo mpaka mwisho, nilianza saa mbili zilizopita. Wale wanaotaka summary mnafeli wapi? Ni uvivu ama nini sasa.
Natamani hata nirudi sasa nikasome comments[emoji23][emoji23][emoji23]mana nilikuwa nalenga story tu

Sent from my Infinix X559C using Tapatalk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kosa la kwanza ,uepuke kukaa nyumba kama alokaa agustino, ,2. Uwe makini kwenye kuchagua sehemu ya kuchimbia mbegu ,


Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
 
Hivi jamaa asingekuwa na koneksheni na mpishi angeishije na njaa ile [emoji848]

Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
Huyu msimuliaji anakifua hivi ungekua wewe ungeweza kutokusema jambo kwa mpishi? Ukizingatia tension aliyokua nayo, ila kila anapotaka kumshirikisha mpishi ishu ya Agustino anaweka pause!! Anakula zange bangi na uji anaondoka zake huyu jamaa jasiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii story ukisoma ukiwa umetuliza akili haswa unaweza jikuta ww msomaji ndo unayedata mana heka heka ni nyingi na haina mapumziko , yani bandua tatizo ongeza tatizo, wacha mtu amiliki chochote kile sitamwonea wivu mana sijui kapitia mangapi ,

Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…