Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sema wana vipi kama mama mwenye nyumba na yule mganga ni mtu mmoja ila alikuwa anacheza side zote mbili kwa uweredi?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji1787][emoji1787]
Kuna mahali mganga anatoa maelekezo kuwa endapo mbegu hazijaota wasirudi tena mizimu itakua imewakataa na kwamba yeye (mganga) hatokua na namna.

Nimefikiria nikagundua inawezekana mganga alishajua mauzauza watakayokumbana nayo Augustino na mwenzie na labda kwa kuwaangalia aliwapima akaona hawatohimili mikikimikiki ya mazingara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Peleka taarifa kwa mkuu wa wilaya.watakuja askari kukagua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Peleka taarifa kwa mkuu wa wilaya.watakuja askari kukagua

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu wenyeji wa hapa wanasema taarifa wanazo na kila anaethubutu kuingia humo hukipata cha mtema kuni ikiwemo na kifo, mpango wa mwisho ilikuwa ni kuwatumia wanajeshi wakaichome moto kilichotokea ni simulizi yenye ukakasi. Kila mganga akiingia humo baada ya siku kadhaa ataumwa sana na kupoteza uhai. Ni nyumba iliyozungukwa na ile miti ya mazambarau.. halafu kutokana na watu kutokupakaribia kwa hiyo kuna kichaka kimeoteana hapo. Pako kama sehemu ya mizimu tu, kwa hiyo pamebaki hivyo hivyo
 
Unitag mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TULETEEE NA WEWE STORI YA HILO ENEO,TAJA NA MKOA WILAYA TUJE TUTALIII... Kaitwike Kulupango VP MWAMPOSA MZEE WA MAFUTA NA GWAJIBOY WAALIKENI WAJE WAPACHOME MOTO
 
Usishau kunitagi mkuuu
 
Mkuu acha mara moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao sio walokole kweli..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…