Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mahali mganga anatoa maelekezo kuwa endapo mbegu hazijaota wasirudi tena mizimu itakua imewakataa na kwamba yeye (mganga) hatokua na namna.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sema wana vipi kama mama mwenye nyumba na yule mganga ni mtu mmoja ila alikuwa anacheza side zote mbili kwa uweredi?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji1787][emoji1787]
Peleka taarifa kwa mkuu wa wilaya.watakuja askari kukaguaHaya mambo yapo wazee. Kuna nyumba huku kwetu huwa haifahamiki mmiliki wake. Kila siku usiku watu hutoa vilio wakiwa ndani ya nyumba hiyo, ukiwa kwa nje unaona kama watu wanatembea mle ndani kupitia pazia zile za transparency. Nyumba ni kubwa haina umeme kwa hiyo mwanga unaotumika mule ni kama mwanga wa mshumaa. Eneo hilo linaogopeka sana na ukipita wakati wa mchana unakuta pako kimya kwelikweli, kuanzia usiku saa tano huwa mwanga wa mshumaa unawashwa, halafu sauti za vilio zinaanza kusikika, ni wake kwa waume huku mipishano ikiendelea mule ndani. Wanasema mwenye nyumba alishafariki miaka mingi na sijui hakuwa na familia au laa. Leo nitajiaribu kupapiga picha au kuchukua video
Mkuu huyu mrembo una namba yake..??Walee ambao mlikiwa hamumjui mama mwenye nyumba huyu apaa. View attachment 1413847
Sent using Jamii Forums mobile app
Unitag mkuuHaya mambo yapo wazee. Kuna nyumba huku kwetu huwa haifahamiki mmiliki wake. Kila siku usiku watu hutoa vilio wakiwa ndani ya nyumba hiyo, ukiwa kwa nje unaona kama watu wanatembea mle ndani kupitia pazia zile za transparency. Nyumba ni kubwa haina umeme kwa hiyo mwanga unaotumika mule ni kama mwanga wa mshumaa. Eneo hilo linaogopeka sana na ukipita wakati wa mchana unakuta pako kimya kwelikweli, kuanzia usiku saa tano huwa mwanga wa mshumaa unawashwa, halafu sauti za vilio zinaanza kusikika, ni wake kwa waume huku mipishano ikiendelea mule ndani. Wanasema mwenye nyumba alishafariki miaka mingi na sijui hakuwa na familia au laa. Leo nitajiaribu kupapiga picha au kuchukua video
TULETEEE NA WEWE STORI YA HILO ENEO,TAJA NA MKOA WILAYA TUJE TUTALIII... Kaitwike Kulupango VP MWAMPOSA MZEE WA MAFUTA NA GWAJIBOY WAALIKENI WAJE WAPACHOME MOTOMkuu wenyeji wa hapa wanasema taarifa wanazo na kila anaethubutu kuingia humo hukipata cha mtema kuni ikiwemo na kifo, mpango wa mwisho ilikuwa ni kuwatumia wanajeshi wakaichome moto kilichotokea ni simulizi yenye ukakasi. Kila mganga akiingia humo baada ya siku kadhaa ataumwa sana na kupoteza uhai. Ni nyumba iliyozungukwa na ile miti ya mazambarau.. halafu kutokana na watu kutokupakaribia kwa hiyo kuna kichaka kimeoteana hapo. Pako kama sehemu ya mizimu tu, kwa hiyo pamebaki hivyo hivyo
Usishau kunitagi mkuuuMkuu wenyeji wa hapa wanasema taarifa wanazo na kila anaethubutu kuingia humo hukipata cha mtema kuni ikiwemo na kifo, mpango wa mwisho ilikuwa ni kuwatumia wanajeshi wakaichome moto kilichotokea ni simulizi yenye ukakasi. Kila mganga akiingia humo baada ya siku kadhaa ataumwa sana na kupoteza uhai. Ni nyumba iliyozungukwa na ile miti ya mazambarau.. halafu kutokana na watu kutokupakaribia kwa hiyo kuna kichaka kimeoteana hapo. Pako kama sehemu ya mizimu tu, kwa hiyo pamebaki hivyo hivyo
Kwa kusoma story nadhani na wewe umejua nini kilichojiri zile siku 3 ulizozima, mpaka jamaa akawa anatafuta namna ya kukutupa vichakani
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo yapo wazee. Kuna nyumba huku kwetu huwa haifahamiki mmiliki wake. Kila siku usiku watu hutoa vilio wakiwa ndani ya nyumba hiyo, ukiwa kwa nje unaona kama watu wanatembea mle ndani kupitia pazia zile za transparency. Nyumba ni kubwa haina umeme kwa hiyo mwanga unaotumika mule ni kama mwanga wa mshumaa. Eneo hilo linaogopeka sana na ukipita wakati wa mchana unakuta pako kimya kwelikweli, kuanzia usiku saa tano huwa mwanga wa mshumaa unawashwa, halafu sauti za vilio zinaanza kusikika, ni wake kwa waume huku mipishano ikiendelea mule ndani. Wanasema mwenye nyumba alishafariki miaka mingi na sijui hakuwa na familia au laa. Leo nitajiaribu kupapiga picha au kuchukua video
Haya mambo yapo wazee. Kuna nyumba huku kwetu huwa haifahamiki mmiliki wake. Kila siku usiku watu hutoa vilio wakiwa ndani ya nyumba hiyo, ukiwa kwa nje unaona kama watu wanatembea mle ndani kupitia pazia zile za transparency. Nyumba ni kubwa haina umeme kwa hiyo mwanga unaotumika mule ni kama mwanga wa mshumaa. Eneo hilo linaogopeka sana na ukipita wakati wa mchana unakuta pako kimya kwelikweli, kuanzia usiku saa tano huwa mwanga wa mshumaa unawashwa, halafu sauti za vilio zinaanza kusikika, ni wake kwa waume huku mipishano ikiendelea mule ndani. Wanasema mwenye nyumba alishafariki miaka mingi na sijui hakuwa na familia au laa. Leo nitajiaribu kupapiga picha au kuchukua video
ohoo Agustino mwenyewe kumbe ndiyo wewe