miss Jane
Member
- Apr 17, 2018
- 59
- 127
Ni box haswaaKibovu kweli maana kama unachanganywa tu wakati story iko open bila shaka wewe ni kichwa box
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni box haswaaKibovu kweli maana kama unachanganywa tu wakati story iko open bila shaka wewe ni kichwa box
Asee kumbe hii story inavipengele vingi sana moderator naona wameipangilia imekaa sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu msimuliaji anakifua hivi ungekua wewe ungeweza kutokusema jambo kwa mpishi? Ukizingatia tension aliyokua nayo, ila kila anapotaka kumshirikisha mpishi ishu ya Agustino anaweka pause!! Anakula zange bangi na uji anaondoka zake huyu jamaa jasiri
Sent using Jamii Forums mobile app
sio mgangaa ni mama mwenye nyumba ndo alikua tatizoUkifuatilia jicho la tatu huo ujasiri ulikuwa wa kimazingara,kumbuka baada ya kumtoa maiti akagundua kuwa ni nguruwe na agustino akaonekana so inaonekana ilikuwa mipango ya mganga iwe hivo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahaha umewaza mbali sanaDah....
Usiombee kuzaliwa jogoo wa kafara, kuchomwa chomwa na spoku mwili mzima hadi ufe
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiache kutuletea kisa chako baada ya mafanikio...pesa ya shetani ni ngumusijajua kwanini hua wanatoa sijui wananionea huruma ama vipi
ngoja nichukue fursa hii kabisa hapa najua wengi wanapitia huu uzi, natafuta mtaalamu wa hatari mwenye uwezo na nguvu na wa sio mambo mengi kama za huyu jamaa. njoo pm kwa maelekezo zaidi ya kunipa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia mienendo ya mama mwenye nyumba, mfano ile siku Augustino anakojoa nje usiku halafu ghafla yule mama akaibuka nyuma yake ikabidi Augustino aende kulala hostel.Ukifuatilia jicho la tatu huo ujasiri ulikuwa wa kimazingara,kumbuka baada ya kumtoa maiti akagundua kuwa ni nguruwe na agustino akaonekana so inaonekana ilikuwa mipango ya mganga iwe hivo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema tukiacha masihara kama jamaa angefupisha story asingekunywa uji mjue,na ile njaa tungezungumza mengine
Hapana mkuu kama ulinisoma vizuri yule jamaa aliyetupeleka kwa mganga nilisema alikuwa na pesa za kula hakuwa na utajiri wa kushangaza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sema wana vipi kama mama mwenye nyumba na yule mganga ni mtu mmoja ila alikuwa anacheza side zote mbili kwa uweredi?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji1787][emoji1787]Angalia mienendo ya mama mwenye nyumba, mfano ile siku Augustino anakojoa nje usiku halafu ghafla yule mama akaibuka nyuma yake ikabidi Augustino aende kulala hostel.
Msimuliaji anazungumzia namna yule mama alivyokua anachungulia uelekeo wa chumba cha kina Augustino, unadhani alikua anaangalia nini kule mlangoni. Pengine mama alifanya yale mazingaombwe ya nguruwe au mganga na mama wote walimchezea mleta mada.
Hii simulizi inafikirisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkifanikiwa kuvipata na ukapata Moyo wa kuvipost usinisahau kwenye utukufu wa tag list mkuuHaya mambo yapo wazee. Kuna nyumba huku kwetu huwa haifahamiki mmiliki wake. Kila siku usiku watu hutoa vilio wakiwa ndani ya nyumba hiyo, ukiwa kwa nje unaona kama watu wanatembea mle ndani kupitia pazia zile za transparency. Nyumba ni kubwa haina umeme kwa hiyo mwanga unaotumika mule ni kama mwanga wa mshumaa. Eneo hilo linaogopeka sana na ukipita wakati wa mchana unakuta pako kimya kwelikweli, kuanzia usiku saa tano huwa mwanga wa mshumaa unawashwa, halafu sauti za vilio zinaanza kusikiza wake kwa waume huku mipishano ikiendelea mule ndani. Wanasema mwenye nyumba alishafariki miaka mingi na sijui hakuwa na familia au laa. Leo nitajiaribu kupapiga picha au kuchukua video
Ha ha umevurugwa sio bure, angalia usije kulete mauza uza mkuuSema tukiacha masihara kama jamaa angefupisha story asingekunywa uji mjue,na ile njaa tungezungumza mengine
Angefupisha simu zisingezima chaji maana zilikaa muda mrefu bila kutumiwa
Angefupisha asingelala na maiti sikutatu,pengine angekaa nayo ndani dakika 2 tu..
Pengine angefupisha mama mwenyenyumba angelala mapema sana kuliko kutoa toa macho jamaa anavyotapatapa
Afu angefupisha sanaaaa asingepitia yote haya,pengine angekuwa zake olevel anajiandaa na necta ya form 4...
Ngoja nikavute tena nakuja[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
jooohs Bado tu? Au ushamaliza mi ndo sijasoma post?Hapana mkuu kama ulinisoma vizuri yule jamaa aliyetupeleka kwa mganga nilisema alikuwa na pesa za kula hakuwa na utajiri wa kushangaza
Ile kafara ingekamilika ingekuwa ni majuto kwa upande wangu
Sent using Jamii Forums mobile app