Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Ki ukweli nimeifuatilia hii story imenihuzunisha sana. Ni watu wachache sana ambao huweza kujitoa mhanga na kusave wengine angeweza hata kuwachomea lkn alikubali kubeba msalaba mwenyewe.

Ila kutokufahamu alipokamatwa angesema ana miaka 17 hivyo angepelekwa mwenye mahakama za watoto. Asingepewa adhabu kubwa hivyo.
 
Hivi wasingehitaji cheti mkuu?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli kabisa pambana hata akitoka umshike mkono maana nahisi umri wake utakua umeenda sana hatoweza hustle za kitaa
 
Serikali ina mkono mrefu pengine waliangalia yote hayo
 
Sio wote huwa wanaroho za kukunja ndugu
 
Duh huu uzi niliusoma kitambo naona Bado ni shule kwa atakae usoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…