Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Story yako nyingine uliyo andka ni ipi
Hivi wasingehitaji cheti mkuu?Ki ukweli nimeifuatilia hii story imenihuzunisha sana. Ni watu wachache sana ambao huweza kujitoa mhanga na kusave wengine angeweza hata kuwachomea lkn alikubali kubeba msalaba mwenyewe.
Ila kutokufahamu alipokamatwa angesema ana miaka 17 hivyo angepelekwa mwenye mahakama za watoto. Asingepewa adhabu kubwa hivyo.
Ni kweli kabisa pambana hata akitoka umshike mkono maana nahisi umri wake utakua umeenda sana hatoweza hustle za kitaaBaada ya kufuta lile tope mdogo mdogo nikaanza kupandisha kimpando cha kuelekea kwa babu nikafika pale nikazuga kama nimeenda kuomba ganja akaanza kusema asubuhi yote umekuja kufanya nini nikamwambia nimekuja kufata dawa.
Akaniambia yamebaki makapi , kisha akaniuliza yule mwenzako agustino mzigo amesha leta nikasema hapana.
Ikabidi aingie ndani aniletee yaleyale makapi
Serikali ina mkono mrefu pengine waliangalia yote hayoKi ukweli nimeifuatilia hii story imenihuzunisha sana. Ni watu wachache sana ambao huweza kujitoa mhanga na kusave wengine angeweza hata kuwachomea lkn alikubali kubeba msalaba mwenyewe.
Ila kutokufahamu alipokamatwa angesema ana miaka 17 hivyo angepelekwa mwenye mahakama za watoto. Asingepewa adhabu kubwa hivyo.
Sio wote huwa wanaroho za kukunja nduguKi ukweli nimeifuatilia hii story imenihuzunisha sana. Ni watu wachache sana ambao huweza kujitoa mhanga na kusave wengine angeweza hata kuwachomea lkn alikubali kubeba msalaba mwenyewe.
Ila kutokufahamu alipokamatwa angesema ana miaka 17 hivyo angepelekwa mwenye mahakama za watoto. Asingepewa adhabu kubwa hivyo.