Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu umeogopa tu bwana unatakiwa ujikaze tu ila mhhhh hapo kwakweli hapaingiliki hizo mita 40 kadri unavyozidi kuzisogelea unaona kama unaingia sehem jehanamu hivi, mana kuna giza sehem kama hizo sipiti hata kwa makofi
kuna siku bwana natembea na shemej yenu sasa hua kuna shortcut fulani ambayo ni kanjia ka makaburini,
si nikakasikia kananiambia eti bebi tupite hapa makaburini,halafu ilikua saa nne sijui saa tano, nilimkata jicho akabaki kimya tukapita njia nyingine ya kawaida japo ndefu kidogo ila la msingi kufika salama
Hapana. Panatisha bro, sidhani kama itawezekana maana pako hovyo. Ninafamilia inantegemea bado, nimeghairi maana duh. Acha nishike 50 zangu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeghairi mkuu. Siendi tena. Tuendelee na uzi wa mr jooh.. maana jamaa anaweza sana na ni jasiri kwelikweli sio mitikasi hiyo.
Dah,mkuu,nataman kujua umbali kutoka hyo nyumba mpaka nyumba zilizopo jirani make m nawawaza tu hawa majirani wanaishije kama nyumba itakuwa karibu nao sana,afu na wapita njia wanaopita usiku sana kama iko jirani na barabara
 
Oooky Inaendelea..................

Wakati naendelea kujiuliza huyu agustino atakuwa kaenda wapi wazo likaniijia nimpigie tena yule ndugu yake labda atakuwa kapata baadhi ya information nikampigia tena akaniambia bro siumetoka kunipigia sasa muda si mrefu nimekwambia sina taarifa yake akinitafuta tu nitakupigia basi nikatoka pale getto nikaanza safari kuelekea centre pengine nikae pale naweza kumuona labda anapita na madumu nikampokee

Muda ulikuwa unayoyoma jua linaelekea kuzama nikaanza mwendo ukumbuke hapo alipokuwa anakaa ilikuwa kunaka umbali hadi kufika centre ikabidi nitembee haraka haraka hadi kufika pale nikakuta maboda boda kibao wamekaa wanapiga story, wengine wanakunywa uji kulikuwa kunamama anapika pale centre.

Mimi muda huo nimechanganyikiwa kila muda napiga simu ya agustino lakini haipatikani nikajipa moyo labda simu yake itakuwa imezima maana alikuwa anakatecno kadogo sana lakini touch screen. Basi nikaendelea kuzuga pale huku nikiendelea kusikiliza sauti za wale boda boda wa kibishana kuhusu simba na yanga, wengine wakiongea lugha za kienyeji

Wakati na zidi kutafakari huku nikikodolea macho kila piki piki inayopita pale nikawa na matumaini labda itakuwa ni agustino lakini nilikuwa naambulia patupu daa nikiangalia muda unazidi kwenda nikipiga simu haipokelewi mara muda kidogo naona message kutoka voda kifurushi chako kimeisha.

Ikabidi nisimame nitazame kibanda ambacho kiko karibu nikaona kimoja kiko upande mwingine nikavuka upande wa pili wa bara bara nikaenda kibandani nikatoa noti ya elfu moja nikapewa vocha ya mia tano nukarudishiwa mia tano
huku nikiendelea kukodolea macho kila usafiri unaopita pale

Ikabidi nivuke tena bara bara niende kukaa ile sehemu niliokuwa nimekaa kufika nataka kukwangua vocha mkononi siioni kusachi mfukoni na ile jero peke yake nikaanza kurudi kukagua pale chini labda nitakuwa nimedondosha wapi nikafatilia barabara yote hadi pale kibandani sikuona kitu.

Nikatoa tena ile 500 nikanunua vocha nyingine kuweka nampigia jamaa bado simu haipatikani daa nikaendelea kukaa pale hadi giza kabisa likaingia nikawaza huyu jamaa atakuwa yuko wapi nilikaa pale hadi wauza mboga kina mama kila mmoja akaanza kubeba sinia anaondoka zake

Daa nikapiga mawazo au kati ya zile taxi zilizokuwa zinapita hapa moja kati yake atakuwa alikuwa ni agustino ngoja nirudi getto kwake kufika pale nikakuta baadhi ya wapangaji pale kuwauliza wanasema bado jamaa hajarudi labda atakuwa yuko shuleni.

Asee niliondoka huku nimechoka hata nguvu za kutembea nilikuwa sina nilitembea hadi nikafika pale hostel nikamwambia muddy kuwa nimeenda kwa agustino lakini sijamkuta lakini jamaa alichukulia kawaida ikabidi kwenda jikoni kwa mpishi nikapiga nae msosi maana wanafunzi walikuwa wameshamaliza kula wengine wameenda prepo ikabidi niingie hostel nianze kuuchapa usingizi

Sijui wenzangu walikuwa wananionaje, nadhani walikuwa wananiona kama mtu aliyekata tamaa na masomo halafu siko serious maana prepo nilikuwa sionekani, soma yangu ya kusua sua kila siku nasingizia naumwa kichwa kumbe hali yangu naijua mwenyewe kunasiku nilikuwa natoka darasani naenda hostel nikapita nyuma ya darasa la wanaosoma arts nikasikia wanacheka vibaya sana huku head boy anasema wale majamaa hawako serious

Kama yule anae doji prepo anasingizia kuumwa kichwa halafu jioni unamuona anaenda kuvuta bangi asee nikapita tu walivyoniona dirishani wakazuga kunyamaza kumbe baharia nimesikia kila kitu.

Wakati nimejilaza pale kitandani huku nikiendelea kupiga ile namba ya agustino bila mafanikio nikawaza sana nitafanya vipi nimpate huyu jamaa maana nilikuwa na hofu sana, niliendelea kupiga ile simu bila mafanikio kesho yake asubuhi ilikuwa ni siku ya shule nikawahi kuamka mapema sana nikajiandaa vizuri nikavaa sare za shule nikamwabia muddy ngoja niwahi kwa agustino maana ndio nilikuwa namuona kama rafiki nilie kuwa nimebaki nae wengine wote wananiona kilaza

Basi nikaanza kutembea fasta hadi nikaiacha kwa mbali mipaka ya shule nikaanza mdogo mdogo kumezwa na vichaka vilivyokuwa vimetapakaa kila sehemu ya ule mtaa basi nilitembea haraka Hadi nikafika kwenye ile nyumba kuangalia mlango umefungwa ikabidi nigonge mlango wa yule mpangaji pale nikamuuliza agustino hajarudi asee

Majibu aliyonipa yalikuwa ni yakusikitisha sana na kuniogopesha maana yule mpangaji akasema alirudi hapa usiku sana na maaskri wakafungua mlango wakapekuwa ila hawakujua walichukua nini kisha wakaondoka nae yaani nilitaka kupooza palepale ilibidi nikae chini ya udongo nikajua mambo ndio yamesha haribika kabisa.

Basi ilibidi niondoke pale nikiwa na maswali mengi , nijajiuliza nirudi shuleni au nikachukue mizigo yangu niwaambie nimezidiwa naenda kulazwa hospital, nkajiuliza tena hivi shule na maisha yangu kipi bora wakati naendelea kujiuluza nikakumbuka yule ndugu yake alietuma mzigo ikabidi nimvutie kamba alipokea nikamwambia jamaa agustino kakamatwa na maaskari jamaa kashituka sana kaniuliza mara mbili mbili nikamwambia ndio walikujanae hadi kupekuwa alipopanga jamaa akakata simu.

Kisha nikatembea fasta kurudi shuleni nikaenda kuingia hadi hosteli nikakuta jamaa ndio wanajiandaa wanavaa nguo waende kwenye ratiba za shule mimi nilipofika nikaanza kuvua yale mavazi yangu kisha nikabadili nguo nyingine za kawaida nikasepa

Nilisema ngoja kwanza niende hadi kule kwa babu labda atakuwa kupigwa kaambiwa ataje wafuasi wake nikanza mchaka mchaka haraka zangu nimefika pale mtoni navuka haraka haraka nikateleza kiatu chote kikazama ndani ya matope ikabidi nivue nikaanza kutoa yale matope kisha nikavaa hivyo hivyo kibichi nikaendelea na safari........

Haya maisha kuna muda yanavuruga mpaka pa kutokea unakosa ,ukiyumba kidogo tu unapotea mazima

Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
 
Nimekupa na li "like"... Usichelew Jooohs kurudii tumalize hili zege[emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanangu tusikuponze msije mkachezea makofi bure...

Afu jamaa wanalengaga sehemu moja tu wakianza kupiga hawabadilishi sehemu nyingine[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sema badala ya kupiga picha,wew record voice yan sogea hadi dirishani alafu sema "hilooooo nimewaonaa" afu uje utuambie walijibuje...

Nakuja ngoja nikavute tena[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Jinga sana wewe jamaa ila nimecheka mpaka majiran wakaamka et hilooo nimewaonaaa
 
Kwamba watu wa biashara n wa gumu kutoka like
Nivingum kupata like kwa nature ya huu uzi. Kwanza haujakamilika. Pili asilimia kubwa ya waafrica ni washirikina katika biashara zao. So inawezekana wapo opposite ni view yako. Pili huu uzi upo kwenye category ya biashara na ujasiriamali watu huko huwa ni wagumu kutoa like.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mida hii naenda job. Mpaka saa sita hivi ndio narudi, eneo la njia ni hili. Huu mti ni moja ya mizambara iliyoko hapa, kwa mbele kama mita 40 hivi ndio nyumba hiyo ilipo, ila kwa vile ni giza inakuwa ngumu ni mpaka pawe panamwanga kule ndani.. hapa nimepiga picha nimeweka flash light lakin nahisi nywele kusisimka. Maana sim inatoa mwanga,View attachment 1414104Nikirudi na jamaa zangu tutasogea hapa nione kama tutaweza kupiga picha.
Duh[emoji853]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom