Uchaguzi 2020 Baada ya Nyalandu kuongoza kura za awali kwa 100%, Je ni dalili za Nyalandu kupeperusha bendera ya CHADEMA? Je, Lissu atarudi kweli J3?

Mimi tangu nilivyoisikia ike clip lema ana msinitch Lissu nikawa sina imani na watu wa chadema.
 
Lissu asubiri,atakuwa waziri mkuu kwenye serikali ya Razaro Nyarandu kipenzi cha Mbowe.
 
Mkuu J5 sio mbali ndo utajua namaanisha ..sitaki ujue mm ni nani lkn chukua hii...Lissu ndo mgombea kwa 99.9%
Nime screen shot hii msg yako wiki ijayo alhamisi nitakukumbusha, usije kukimbia kivuli chako. Kuna mengi msiyoyajua ingawa mmejawa na ushabiki mwingi. Watu Wana mikakati ya fedha sio ushabiki wa kufurahisha watu.
 
With all due respect, mkuu nikuulize ikitokea Lisu apate vikwazo vya kugombea then chadema ndio basi tena? Kingine nini maana ya demokrasia? Huwezi kulazimisha kitu hiyo sio demokrasia. Kingine Nyalandu deserves respect. Huyu alijivua ubunge na kuja chadema pasipo ku demand chochote. Very unfair ukimwita mwa ccm na uki doubt uaminifu wake.
 
Nime screen shot hii msg yako wiki ijayo alhamisi nitakukumbusha, usije kukimbia kivuli chako. Kuna mengi msiyoyajua ingawa mmejawa na ushabiki mwingi. Watu Wana mikakati ya fedha sio ushabiki wa kufurahisha watu.
Huna unachokijua ww..
 
Lisemwalo lipo mkuu.
 
Sema wewe. Ninyi na Nani wakati wenzio wanampigia kura Nyarandu.?
 
Jumatatu hii ya keshokutwa ?
 

Wewe timu Membe, huna lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…