feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 7,683
- 15,128
Mimi tangu nilivyoisikia ike clip lema ana msinitch Lissu nikawa sina imani na watu wa chadema.
Mkuu hizo ni kura za awali, japo matamanio yako ni Lissu kutokurudi. Kwanza ufahamu Lissu harudi kwa ajili ya kugombea urais maana sio mkimbizi wa kisiasa, bali anarudi baada ya matibabu. Isitoshe mkutano wa mwisho bado, na hata cdm wakikosea wakampitisha Nyalandu, basi watakuwa wamejikaanga wenyewe. Sisi wapiga kura wengi wa upinzani hatuna imani na mwanaccm yoyote, bali tuna imani na Lissu.
Kwahiyo hao wajumbe wawe makini na maamuzi yao, maana sisi wapiga kura wa upinzani tunajitambua, na hatukoa tayari kurudia kosa la Lowassa.