Uchaguzi 2020 Baada ya Nyalandu kuongoza kura za awali kwa 100%, Je ni dalili za Nyalandu kupeperusha bendera ya CHADEMA? Je, Lissu atarudi kweli J3?

Hiyo huduma unayonilazimishia situmii. Nina maadili ya dili sithubutu kutumia hilo shimo la tope.
Mbona unalitumia Mrs Mbowe. Si uliingizwa 2015, na mwaka huu utaingizwa maana ni kawaida yako kupigwa mabao kila uchaguzi
 
Mkuu sijui unalifahamu hili:

"Adui yako wa kisiasa akimpatia unatakiwa umpige sana achakaye kiasi ambacho hata atakapo pata nafasi ya kurudisha ngumi zake, basi ngumi hizo ziwe hazina madhara kwako".

Na hii ndio uhalisia wa mapigo ya siasa ambayo Chadema anapambana nayo..

"Wakati unamshambulia adui yako wa kisiasa, hakikisha Magenerali wengine wako imara na wakishambulia na kutoa kipigo maeneo yote ambayo anaweza kupata usaidizi, au kukimbia kabla hajapigwa sana na kuchakazwa".

Sasa Mkuu uendeshaji vita ya kisiasa wa Chadema ni wa kitoto mpaka muda huu na sababu kubwa ni kuto kuwa makini katika kuteuwa Magenerali ambao wamebobea katika nyanja za vita. Angalia Uongozi wa juu kabisa wa Chadema unakufahamisha kuwa vita wanayoweza ni vita ya nguvu na sio uwezo wa kubobea wa akili.

Nakuuliza na napenda uwe mkarimu kwa hili , unijibu jinsi akili yako inavyo kutuma na kwa hili nitajuwa tunabadilishana ufahamu wa pamoja na nani kwa kiwango gani?.

Ukipewa au Dr Magufuli au Mbowe, Nani atakuwa mwenyekiti wako?
Ukipewa Dr Bashiru amd Mnyika nani kati ya hao utapenda katibu mkuu wako?
Ukipewa Dr. Rodrick Mpogolo au Benson Kigaila nani utapenda awe Naibu katibu Mkuu wako ?
Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Chadema Salum Mwalim na CCM Dr Abdalah Juma?
Pole pole au Makene ?
Utachagua nani katika hizo nafasi zao kuzingatia weledi na ufahamu.

Unapokuwa na chama ambacho viongozi wenye Elimu ya kutosha na uwezo mpana wa kufikiria, unatengeneza Magenerali ambao kila mmoja ana uwezo wa kupigana vita kwa kiwango cha juu kabisa.

Ogopa Chama ambacho, Mwenyekiti Elimu ya Kuunga, Katibu Mkuu pia, Naibu manaibu makatibu wakuu hivyo hivyo, (Uongozi wa juu kabisa hata mwenye Degree hata iwe moja hakuna kwa dunia ya leo) Iwe bara au Visiwani. lazima kuna matatizo labda kwa leo uniambie Upevu wa Elimu sio lazima.

Huwezi kuwa na safu ya juu kabisa ya uongozi ambayo Elimu hakuna na ndio unawapa tochi ya kumulikia watu wawafuate , lazima wafuasi watakuwa na matatizo mkichwa.
 
Duuu kazi ipo, nimejaribu kusoma ulichoandika nimechoka. Nimeishia kuona furushi la sentensi za kiswahili, zisizo na mtiririko wa kueleweka. Hata sijui nijibu kipi na niache kipi. Anyway, naheshimu mawazo na hisia zako.
 
Kamati kuu ya chadema sio wananchi na kama cdm wakijichanganya wananchi hatutawaamin kama ccm tusivyoiamini tena wananchi tutatafuta njia mbadala ya kujikomboa WAPIGA KURA/WANANCHI BILA KUJALI VYAMA VYETU TUNAIMANI N.A. LISSUUUUUUUUU!!!!!!!
 
Mlipopewa uhuru wa bendera mlikuwa na majenerali wangapi? we mtu, uhuru wa watu hauhijaji elimu za kijinga kama hizi phd feki tunazozipa mamlaka makubwa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Duuu kazi ipo, nimejaribu kusoma ulichoandika nimechoka. Nimeishia kuona furushi la sentensi za kiswahili, zisizo na mtiririko wa kueleweka. Hata sijui nijibu kipi na niache kipi. Anyway, naheshimu mawazo na hisia zako.

Ukipata muda tuongee tuu, nitakufundisha jinsi ya kuchambua matukio ya kisiasa ili kuweza kujua kipi kitatokea baadaye. ASANTE ILA LAZIMA UJIFUNDISHE KUSIKILIZA WENZAKO, NA SISI TUMETOKA HUKO.
 
Ukipata muda tuongee tuu, nitakufundisha jinsi ya kuchambua matukio ya kisiasa ili kuweza kujua kipi kitatokea baadaye. ASANTE ILA LAZIMA UJIFUNDISHE KUSIKILIZA WENZAKO, NA SISI TUMETOKA HUKO.

Duuu, haya kaka, asante kwa msaada wako.
 
Mimi nimemfungukia na kumwambia ukweli yaani mtu anakuwa chanzo cha kuleta taharuki ndani ya chama.

Amsapoti huyo Zitto wake na Membe wake tuone kama watafanikiwa maana tulikuwa tuna wapa sapoti kwa kuamini kuwa nao ni wapinzani wenzetu.
Zitto ni homeboy lakini simwamini hata kwa 10%
 
Mkuu pole mambo ya demokrasia hayo!
Vipi Engr tukupe tenda ya kujenga HQ ya CDM Dar??
Kufa kufaana hiyo Gep babu kubwa, macho yooote Dar dunia nzima, Mungu akupe nini tena!!
Kama naota vile!!
KARIBU MKOMBOZI TUNDU LISSU UTUTOE MIKONONI MWA WAKOLONI WEUSI SISIEMU!!!
 
Huelewi kitu unaongelea ushabiki, Lissu asipopitishwa kugombea uraisi na CDM utafanyaje?, Watu wapo kimaslahi zaidi nyie mnaleta ushabiki wa Simba na Yanga.
Mnapiga ramri chonganishi kama mlivyo taka kummaliza kwa risasi.
Sasa anakuja kajitundike juu ya mti upotee usione matokeo!!
Lumumba mnaboa humu mitandaoni!!
 
Mlipopewa uhuru wa bendera mlikuwa na majenerali wangapi? we mtu, uhuru wa watu hauhijaji elimu za kijinga kama hizi phd feki tunazozipa mamlaka makubwa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Nafahamu Elimu sio lazima na tukiingia ikulu tutafunga shule, na Vyuo hii takataka ili kupunguza gharama ya kuendesha serikari.
 
Tusiotee mabaya. Acha mchakato uendelee hadi mwisho. It is a strategic process.
 
Mnapenda ushoga?
 
Mkuu hongera saana ni wachache wataelewa unachokiandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…