Baada ya OYA kumtesa mwanangu, Mungu amejibu dua na sala zangu. OYA wamevuna walichokipanda

Unakopa na huna chanzo cha kipato au unakuta mtu anaomba mkopo halafu makusudi anauchuna kama mali ya baba yako
Mda si mrefu nimemkatalia mtu mkopo nikamwambia najua hutarudisha kwa hiyo sikupi simple
 
Unakopa na huna janzo cha kipato au unakuta mtu anaomba mkopo halafu makusudi anauchuna kama mali ya baba yako
Mda si mrefu nimemkatalia mtu mkopo nikamwambia najua hutarudisha kwa hiyo sikupi simple
Kiasili wabongo ni wazuri wa kukopa ila kurudisha ni kwa papatu sanaa
Mtu ameshajua hana uwezo wa kurudisha anakopea nin?
 
waliwe tiGo
 
Sasa wanakupigaje? Kama wanakupiga si unaenda kufungua kesi polisi? Au ni moja ya makubaliano hayo kupata kichapo?

Na vipi wewe mleta uzi ulifungua kesi?
Inategemea hiyo OYa ni kampuni ya nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…