Wapendwa ushauri huu 👇🏾
“Siasa usiweke kwa moyo. Weka kwa lungs”
😀😀
Haya msinitafute baadaye na ma presha huko!
Siasa za nchi zetu hizi unaweza chizika bure kumbe!
Haya muwe na usiku mwema 👊🏽
............
User mwengine akajibu hivi;
Siasa za Africa 🌍 ndivyo zilivyo
Wanasiasa wanatofautiana jukwaani halafu baadae wanakutana na kuelewana kama vile hakijatokea kitu chochote kile... kama wagombea wa Uenyekiti CHADEMA walipokutana jana
Ila wafuasi ndio wanachukua bifu lile kama ndio ukweli wa hali ilivyo kama Yericko na mwenzake Ntobi
🤝 tunatakiwa tuwe kama wao tu na tuichukulie kawajda sana ili mwisho wa siku tusiumizame