Baada ya picha ya Mbowe na Lissu : Maria aandika hivi

Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza – Kutojua ni sawa na kuwa gizani.
 
Wapendwa ushauri huu 👇🏾
“Siasa usiweke kwa moyo. Weka kwa lungs”
😀😀
Haya msinitafute baadaye na ma presha huko!
Siasa za nchi zetu hizi unaweza chizika bure kumbe!
Haya muwe na usiku mwema 👊🏽
Surat Maria 😂
 
Acha upotoshaji. Haya maneno kaweka yakiwa sambamba na clip ya mwanasiasa wa Kenya akionya wanachi wasizichukulie siasa serious kutokana na tabia za wanasia kuwa na mambo nyuma ya pazia tofauti na wanavyoonekana hadharani. au kwenye vyombo vya habari.

Mwanaaiasa alikuwa anaweleza wananchi kuwa kwenye TV wanaweza kuonekana hivi halafu baadae wanaalikana kwenye dinner.

.
Ktk nguvu alizokuwa anatumia na picha ya leo
 
Acha upotoshaji. Haya maneno kaweka yakiwa sambamba na clip ya mwanasiasa wa Kenya akionya wanachi wasizichukulie siasa serious kutokana na tabia za wanasia kuwa na mambo nyuma ya pazia tofauti na wanavyoonekana hadharani. au kwenye vyombo vya habari.

Mwanaaiasa alikuwa anaweleza wananchi kuwa kwenye TV wanaweza kuonekana hivi halafu baadae wanaalikana kwenye dinner.

.
Kumbe huyu jamaa Bogus sana.
 
Hivi kati yangu mimi na Wewe nani kaandika pumba? Ebu rudia kusoma ulichoandika kwa utaratibu kabisa. Mwandiko wako tu ni changamoto

Jifunze kwenda a je ya BOKSI.. Acha uvivu au ndio haujui basi soma nimekujibu tena

Kila kitu mtu aandike... zunguka zunguka uwe GT
 
Acha upotoshaji. Haya maneno kaweka yakiwa sambamba na clip ya mwanasiasa wa Kenya akionya wanachi wasizichukulie siasa serious kutokana na tabia za wanasia kuwa na mambo nyuma ya pazia tofauti na wanavyoonekana hadharani. au kwenye vyombo vya habari.

Mwanaaiasa alikuwa anaweleza wananchi kuwa kwenye TV wanaweza kuonekana hivi halafu baadae wanaalikana kwenye dinner.

.
Upotoshaji uko wapi hapo .?
 
Huyu mdada namkumbuka tokea anasoma Zanaki Sec miaka ile mimi niko Zanaki Primary...
Alikuwa kimbelembele sana mpaka kuukwa ukiranja mkuu...
 
Wapendwa ushauri huu 👇🏾
“Siasa usiweke kwa moyo. Weka kwa lungs”
😀😀
Haya msinitafute baadaye na ma presha huko!
Siasa za nchi zetu hizi unaweza chizika bure kumbe!
Haya muwe na usiku mwema 👊🏽
............
User mwengine akajibu hivi;
Siasa za Africa 🌍 ndivyo zilivyo

Wanasiasa wanatofautiana jukwaani halafu baadae wanakutana na kuelewana kama vile hakijatokea kitu chochote kile... kama wagombea wa Uenyekiti CHADEMA walipokutana jana

Ila wafuasi ndio wanachukua bifu lile kama ndio ukweli wa hali ilivyo kama Yericko na mwenzake Ntobi

🤝 tunatakiwa tuwe kama wao tu na tuichukulie kawajda sana ili mwisho wa siku tusiumizame
Binafsi nawapongeza mbowe na lissu, siasa ni maneno na tofauti ya mawazo, hakuna uadui, tuendelee kuelimishana....Msimamo ni uleule, huu ni wakati wa lissu chadema, uwenyekiti
 
Chadema akili KUBWA
Ninachopongeza wameendelea kuwa pamoja bila kujali tofauti zao, hiyo ndo demokrasia, wote wale ni WA chama kimoja, wanatofautiana kimawazo namna ya kuongoza taasisi Yao ifike mbali zaidi
 
Back
Top Bottom