Baada ya picha ya Mbowe na Lissu : Maria aandika hivi

Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza – Kutojua ni sawa na kuwa gizani.
 
Wapendwa ushauri huu πŸ‘‡πŸΎ
β€œSiasa usiweke kwa moyo. Weka kwa lungs”
πŸ˜€πŸ˜€
Haya msinitafute baadaye na ma presha huko!
Siasa za nchi zetu hizi unaweza chizika bure kumbe!
Haya muwe na usiku mwema πŸ‘ŠπŸ½
Surat Maria πŸ˜‚
 
Ktk nguvu alizokuwa anatumia na picha ya leo
 
Kumbe huyu jamaa Bogus sana.
 
Kwa hiyo watu walitaka itokee ngumi wakikutana?
 
Hivi kati yangu mimi na Wewe nani kaandika pumba? Ebu rudia kusoma ulichoandika kwa utaratibu kabisa. Mwandiko wako tu ni changamoto

Jifunze kwenda a je ya BOKSI.. Acha uvivu au ndio haujui basi soma nimekujibu tena

Kila kitu mtu aandike... zunguka zunguka uwe GT
 
Upotoshaji uko wapi hapo .?
 
Huyu mdada namkumbuka tokea anasoma Zanaki Sec miaka ile mimi niko Zanaki Primary...
Alikuwa kimbelembele sana mpaka kuukwa ukiranja mkuu...
 
Binafsi nawapongeza mbowe na lissu, siasa ni maneno na tofauti ya mawazo, hakuna uadui, tuendelee kuelimishana....Msimamo ni uleule, huu ni wakati wa lissu chadema, uwenyekiti
 
Chadema akili KUBWA
Ninachopongeza wameendelea kuwa pamoja bila kujali tofauti zao, hiyo ndo demokrasia, wote wale ni WA chama kimoja, wanatofautiana kimawazo namna ya kuongoza taasisi Yao ifike mbali zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…