Baada ya picha ya Mbowe na Lissu : Maria aandika hivi

For sure inaumiza sana,
yaani wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa, bila woga wala kificho wanamkataa kibaraka wa mabenyenye ya magharibi adharani?

hii si sawa kabisa, si wangemvumilia hadi siku ya uchaguzi ndio wankatae kwa kura?๐Ÿ’
Umeongea nao lini mkuu๐Ÿ˜‚
 
Kuna watu wanapenda ugomvi sana na sasa hapa tunajifunza jinsi ya kujipanga kuongea na kushauriana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ