mkokamoto
JF-Expert Member
- Jan 2, 2024
- 1,313
- 1,671
Kimeumana 👿hukoChadema ,Ina madaktari wengi mahosipitalini humo .....wamemfanyia ushushushu
Kimeumana 👿hukoChadema ,Ina madaktari wengi mahosipitalini humo .....wamemfanyia ushushushu
😃😃Mimi nimemuelewa tofauti.
P.
Ni kwamba bibie hatoi utamu (uroda) anabana miguu.
Pole sana kwake kwa kupigwa ngumi ya mgongo huyo dada ila kazingua sana unawezaje kusaliti wenzako kiasi hiki ,
Hapo anaona sifa ila upande huo kumdump mtu hawaoni shida baada ya kumtumia shauri yake
Aliyewaita "nyumbu" alipatizia kabisaaHiki chadomo kina watu wa hovyo sana.
Kama kalivyotumika ka Msigwa! Sasa hivi kamepotea!Pole sana kwake kwa kupigwa ngumi ya mgongo huyo dada ila kazingua sana unawezaje kusaliti wenzako kiasi hiki ,
Hapo anaona sifa ila upande huo kumdump mtu hawaoni shida baada ya kumtumia shauri yake
Kama hiyo ndio njia ya kupata vyeo, basi tutafeli pakubwa kama nchi.Ukiona hawiki ujue amesimama mguu sawa, angesimama tuu mguu upande, kila ziara, angekuwepo.
P
Yaani mtu awe ICU halafu awe na uwezo wa kutumia simu? Unafikiri huko wanapelekwa wenye nafuu? Tafakari!!Kwa hiyo mtu akipata nafuu hawezi kutumia simu? Hiki chadomo kina watu wa hovyo sana.
Nani kakwambia pale ni ICU?? Wafuasi wa jamaa wa Amsterdam mbona mnapenda kupotosha na kufyatua uongo?Yaani mtu awe ICU halafu awe na uwezo wa kutumia simu? Unafikiri huko wanapelekwa wenye nafuu? Tafakari!!
Picha ni nyingi kuna yule aliyekula chipsi huku kazimia juu ya boda boda una mkumbuka?....
Hiyo icu itakuwa spesheli bila shaka.Ogopa Mungu na Teknolojia. Pongezi Kwa ndugu wa muigizaji aliyempiga picha na kuuhabarisha umma kinachoendelea ICU.
Kwanini hamtaki kabisa kuongelea aliyempiga?Pole sana kwake kwa kupigwa ngumi ya mgongo huyo dada ila kazingua sana unawezaje kusaliti wenzako kiasi hiki ,
Hapo anaona sifa ila upande huo kumdump mtu hawaoni shida baada ya kumtumia shauri yake
Huyo hakupigwa Konyagi ilimzidi akapepesuka akaanguka mwenyewe, labda ishitakiwe Tanzania Distilleries Ltd watengenezaji wa Konyagi.Kwanini hamtaki kabisa kuongelea aliyempiga?
Hukuwahi fuatilia hiyo film alivyo hadithia!Mkuu Nimecheka sana aisee kwamba anakuka chipsi na amezimia
🤣Hivi Upendo Peneza ametupwa dampo la wapi siku hizi
🤣Huyo hakupigwa Konyagi ilimzidi akapepesuka akaanguka mwenyewe, labda ishitakiwe Tanzania Distilleries Ltd watengenezaji wa Konyagi.