Baada ya picha ya muigizaji akiwa anachat ICU sinema imekuwa rasmi.

Baada ya picha ya muigizaji akiwa anachat ICU sinema imekuwa rasmi.

inabidi naye asikubali kuuliwa! 😂

umewaza mbali sana boss
Mkuu siyo kuwa nimewaza mimi ila ni rumor niliyoisikia sehemu. Jamaa alikuwa anaulizia ni kwa nini wamemhamisha hospital aliyokuwa na kumpeleka hiyo nyingine wakati wala hazizidiani ukubwa? Kwa nini kama rufaa asiende hospital kubwa? Jamaa akasema walikuwa na mpango akifika huko wanakotaka wanamfanya wanachotaka ili wapate kesi ya mauaji ambayo itafanya watu waozee jela. CCM hawafanyi jambo kwa kuona huruma kwani hawana huruma.
 
Wanaume wazima mmefanya jambo dogo liwe la kufanyia mipasho..ndio maana nchi ina mashoga ndani ya vyama vya siasa..ndio hawa!
Maelezo mengi yamejaa upuuzi tu, aliyepata habari mwanzo za sigrada kuumizwa na kulazwa..ni ccm au chadema? hawa waliokwenda kumuona Dodoma nao walimpigia huyo mnayemsema walipofika getini??? Pre GE2025 - PICHA: Viongozi wa BAWACHA Kanda ya Kati wamjulia Hali Mwenezi Taifa, Sigrada Mligo ...mtu ameumizwa kwenye kikao cha chama, hawezi kuwa peke yake tena..lazima chama kinachojali wanachama na viongozi wake kita-deploy team ya wanachama wawe nae, kwanza ni kumshauri aende nyumbani apumzike au la km anasikia maumivu wampeleke hospitali..na hatua hizi zingesimamiwa na Heche sababu ndiye source ya huyu kuumizwa..mnataka kuaminiwa kuongoza nchi wakati mambo madogo km haya yanawashinda..visingizio vingiiii..upumbavu mtupu! nyinyi wenyewe hamjaliani, saa ngapi mtawajali watanzania msiowajua..? huyu ambae mnae kila siku na amekuwa anafanya kazi ya chama mmeshindwa kumjali..nani mtamjali..??? Rose Mayemba mwenyewe hata tu clip fupi ya kumpa pole be t anaigiza au kweli ameumizwa, just a word of sympathy sabab hata km anaigiza bado unaweza mpa pole kuonyesha solidarity..!
Kama chama kingekuwa nae Sigrada muda wote, ccm wasingesogea..mmemtelekeza ndio maana wapo wao, na hizo hatari za kudhuriwa na ccm mtakuwa mmezisababisha nyinyi! Mawazo alipouwawa alikuwa peke yake au alikuwa na wanachama wenzake..? km alichukuliwa akiwa kwenye mkusanyiko wa chama nani alimsababishia hayo yaliyompata..! msikimbie wajibu wenu km chama, hata km mnahisi mtu huyu ni msaliti kuweni naye hadi apone..ndio hizo barua za kuachana nae zifuate! chama gani kimejaa wahuni tu! miaka 30 sasa ishu ni wasaliti..mmeshindwa kupata majibu ya kudeal na wasaliti hayo matatizo ya nchi makubwa mtayaweza..? Sigrada mtu mmoja tena hana hata roots kwenye chama mnaweweseka km mazuzu, mtu mdogo kabisa mnajenga chuki na kejeli wanaume wazima..akili za kishoga hizi..!
 
Tukisema ICU una elewa manake
ataelewa nn , Dr slaa alimwona siku ya tukio sa Saba usiku unazani hakupigwa picha watu hawatoi uhondo wanasubiria pengine kamati

Huyo mlinzi wa heche mpaka Leo hajakamatwa ,huyo bint alivyoona imebuma ,akajua ndo kwa heri ,kilichofata ni kutengenezwa picha la kihindi au la jackshain( wachina) ,anapiga ngumi mpaka maji
 
Ogopa Mungu na Teknolojia. Pongezi Kwa ndugu wa muigizaji aliyempiga picha na kuuhabarisha umma kinachoendelea ICU.
Huyu alipaswa akalazwe pale kwenye korido za lumumba mgonjwa anapokelewa hospital namakada wa alizeti hakuna hata muuguzi
 
Huyu ni mtu wa misimamo, ili kufanikiwa kwenye siasa kwa wenzetu hawa lazima uwe na godfather wa kukubeba na ubebeke, ukishikwa, shikamana!, ukibebwa, bebeka.
P
Kwa huko chama dume sababu hana mizizi atapata changamoto.
 
Ogopa Mungu na Teknolojia. Pongezi Kwa ndugu wa muigizaji aliyempiga picha na kuuhabarisha umma kinachoendelea ICU.
Acha uongo hapo siyo ICU au ICU huifahamu nini? Chumba hicho mbona kinaonekana ni cha kawaida?
 
Back
Top Bottom