Hapo ni ICU kweli?Ogopa Mungu na Teknolojia. Pongezi Kwa ndugu wa muigizaji aliyempiga picha na kuuhabarisha umma kinachoendelea ICU.
Hapo ni ICU kweli?Ogopa Mungu na Teknolojia. Pongezi Kwa ndugu wa muigizaji aliyempiga picha na kuuhabarisha umma kinachoendelea ICU.
Wanaweza hata kumuua ili tu kupata grounds za kuwakamata viongozi wa Chadema na kuwafungulia kesi ya mauaji.Pole sana kwake kwa kupigwa ngumi ya mgongo huyo dada ila kazingua sana unawezaje kusaliti wenzako kiasi hiki ,
Hapo anaona sifa ila upande huo kumdump mtu hawaoni shida baada ya kumtumia shauri yake
Mafisadi yote yapo hoiNo reform no election itawaumbua wengi mno - na badoo.
Anasubiri ukuu wa WilayaHivi Upendo Peneza ametupwa dampo la wapi siku hizi
CDM wangekuwa na roho za drama kama za ccm najua huu msiba wangeusika nao 100%Ogopa Mungu na Teknolojia. Pongezi Kwa ndugu wa muigizaji aliyempiga picha na kuuhabarisha umma kinachoendelea ICU.
mtumieni hera yake umbwa nyie kila akicheki salio anakuta holaKwa hiyo mtu akipata nafuu hawezi kutumia simu? Hiki chadomo kina watu wa hovyo sana.
Na,mungu amlaani ,amesababisha ccm wawe na yeye na wakasahau mgonjwa kamili ,kule mbeya rufaa na amekufa
Naamini,makala angekuwa busy na yule mgonjwa basi angelona
Wewe hamia Mirembe ukajumuike na wenzako. Atakaye liona geti ndiye atakuwa amepona tayariDada bora ahamie CCM akajumuike na wenzake akina Lucas Mwashambwa
Tukisema ICU una elewa manakeKwa hiyo mtu akipata nafuu hawezi kutumia simu? Hiki chadomo kina watu wa hovyo sana.
Kwa hiyo hamtaki wanachama wapya?Wewe hamia Mirembe ukajumuike na wenzako. Atakaye liona geti ndiye atakuwa amepona tayari
Hawa UWT unadhani wanaelewa hata maana ya ICUTukisema ICU una elewa manake
Na malipo yake atayapata tu ,wala hayako mbaliPole sana kwake kwa kupigwa ngumi ya mgongo huyo dada ila kazingua sana unawezaje kusaliti wenzako kiasi hiki ,
Hapo anaona sifa ila upande huo kumdump mtu hawaoni shida baada ya kumtumia shauri yake
Ila kweli huyu dada anajidhalilishaMakala anapenda sana wanawake wenye makalao.🤣🤣🤣🤣🤣
AiseeeNiliona kwenye Clip anajitapisha kama vile ana Head Injury😅😅