Baada ya picha ya muigizaji akiwa anachat ICU sinema imekuwa rasmi.

CHADEMA ilimtoa wapi huyu msanii asiye na aibu.
 
Pole sana kwake kwa kupigwa ngumi ya mgongo huyo dada ila kazingua sana unawezaje kusaliti wenzako kiasi hiki ,
Hapo anaona sifa ila upande huo kumdump mtu hawaoni shida baada ya kumtumia shauri yake

..yule Dada wa Geita sijamsikia muda mrefu.

..au ameshatumika hawamhitaji tena?
 
Pole sana kwake kwa kupigwa ngumi ya mgongo huyo dada ila kazingua sana unawezaje kusaliti wenzako kiasi hiki ,
Hapo anaona sifa ila upande huo kumdump mtu hawaoni shida baada ya kumtumia shauri yake
Kama kalivyotumika ka Msigwa! Sasa hivi kamepotea!
 
Kwa hiyo mtu akipata nafuu hawezi kutumia simu? Hiki chadomo kina watu wa hovyo sana.
Yaani mtu awe ICU halafu awe na uwezo wa kutumia simu? Unafikiri huko wanapelekwa wenye nafuu? Tafakari!!
 
Nani kakwambia pale ni ICU?? Wafuasi wa jamaa wa Amsterdam mbona mnapenda kupotosha na kufyatua uongo?
 
Pole sana kwake kwa kupigwa ngumi ya mgongo huyo dada ila kazingua sana unawezaje kusaliti wenzako kiasi hiki ,
Hapo anaona sifa ila upande huo kumdump mtu hawaoni shida baada ya kumtumia shauri yake
Kwanini hamtaki kabisa kuongelea aliyempiga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…