Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Kwa press hii ya Lissu si siri tena kuwa CHADEMA kuna mtufuano wa maana. Yaani Lissu kaamua kuchomoa berti. Kwa hatua hii msituambie kuwa hapa wamapenga, ndani hakuna shida, kwa hizi spana za leo Lissu kaamua liwalo na liwe.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: Mtasubiri sana tugombane, haitatokea! Masuala ya mimi kugombea chama changu kitaamua, hayawahusu
CHADEMA mmkajikausha nywiiiii, toka Lissu aseme atafanya press leo na hata baada ya press hamjahabarisha umma kabisa kuwa mwanachama wenu huyu ameamua kutangaza nia ya kugombea nafasi ya Uenyekiti!
Sasa swali linabaki kuwa, lissu ataungwa mkono na chama au atafurushwa akatimkie kwenye chama kingine? Akifurushwa ataenda chama gani?