Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
plisi mna wajuwa au hamuwajui? watakula virungu kila siku mpaka waseme pooHuyu Heche agombee umakamu mwenyekiti taifa.
Samia atavua ushungi mwaka huu.
Asipokuelewa basi itakuwa akili yake ni ndogo.Lisu anagombea nafasi ya uongozi ndani ya chama, ataungwa mkono na wanachama, na siyo chama. Atakapogombea nafasi ya Urais wa nchi, ndiyo ataungwa mkono na chama.
Mwenyekiti Freeman Mbowe, kila mara amekuwa akiwaeleza watu kuwa CHADEMA siyo ya Mbowe, siyo ya Lisu, siyo ya Mnyika au mwingine yeyote. CHADEMA ni ya wanachama wote, na watanzania wote. Mtu yeyote mwenye sifa ana haki sawa na mtu mwingine yeyote.
Lisu ametangaza nia, na wengine wenye sifa wanakaribishwa.
CHADEMA siyo chama cha kidikteta kama ilivyo CCM. CHADEMA haichapishi fomu moja kwaajili ya mgombea mmoja. CHADEMA haifanyi uchaguzi wa maaigizo kama wafanyavyo CCM.
Ccm ni mapumbavu kama fisi anayefikiri mkono utaanguka.Wakuu,
Kwa press hii ya Lissu si siri tena kuwa CHADEMA kuna mtufuano wa maana. Yaani Lissu kaamua kuchomoa berti. Kwa hatua hii msituambie kuwa hapa wamapenga, ndani hakuna shida, kwa hizi spana za leo Lissu kaamua liwalo na liwe.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: Mtasubiri sana tugombane, haitatokea! Masuala ya mimi kugombea chama changu kitaamua, hayawahusu
CHADEMA mmkajikausha nywiiiii, toka Lissu aseme atafanya press leo na hata baada ya press hamjahabarisha umma kabisa kuwa mwanachama wenu huyu ameamua kutangaza nia ya kugombea nafasi ya Uenyekiti!
Sasa swali linabaki kuwa, lissu ataungwa mkono na chama au atafurushwa akatimkie kwenye chama kingine? Akifurushwa ataenda chama gani?
Haahaa Kwa hiyo aendelee kubaki mwenyekiti wa maisha kama kina cheyo?Mbowe ana msaada mkubwa sana kwa lisu sema lisu hajui anahangaika tuu.
Haahaa lini hiyo mkuuHaya sasa inaitishwa nyingine 🐼View attachment 3175226
Kutangaza nia ya kugombea nafasi yoyote ndani ya Chadema ruksa ,ata kama na wewe unataka tangaza niaWakuu,
Kwa press hii ya Lissu si siri tena kuwa CHADEMA kuna mtufuano wa maana. Yaani Lissu kaamua kuchomoa berti. Kwa hatua hii msituambie kuwa hapa wamapenga, ndani hakuna shida, kwa hizi spana za leo Lissu kaamua liwalo na liwe.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: Mtasubiri sana tugombane, haitatokea! Masuala ya mimi kugombea chama changu kitaamua, hayawahusu
CHADEMA mmkajikausha nywiiiii, toka Lissu aseme atafanya press leo na hata baada ya press hamjahabarisha umma kabisa kuwa mwanachama wenu huyu ameamua kutangaza nia ya kugombea nafasi ya Uenyekiti!
Sasa swali linabaki kuwa, lissu ataungwa mkono na chama au atafurushwa akatimkie kwenye chama kingine? Akifurushwa ataenda chama gani?
Ccm ni mapumbavu kama fisi anayefikiri mkono utaanguka.
Uchawa umekuzidi hadi umekuwa mlozi!Kuwa mstaarabu Mkuu, hakuna sehemu yoyote umesemeshwa vibaya
Ndio mpaka mnyookeHaahaa Kwa hiyo aendelee kubaki mwenyekiti wa maisha kama kina cheyo?