Pre GE2025 Baada ya press hii ya Lissu, ataendelea kuwa CHADEMA au watamtimua? Akifurushwa unadhani ataenda kujiunga chama gani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Asipokuelewa basi itakuwa akili yake ni ndogo.
Lisu ataendelea kuwepo sana tu ndani ya CDM
By the way ile ramli ya kuwa Lema anakuja kwenu iliishia wapi?
 
Ccm ni mapumbavu kama fisi anayefikiri mkono utaanguka.
 
Kutangaza nia ya kugombea nafasi yoyote ndani ya Chadema ruksa ,ata kama na wewe unataka tangaza nia
 
Wapiga ramli mmeshindwa na mtaendelea kushindwa.
Kwa taarifa yako Mbowe ndiye aliyemuomba Lissu agombee, na hilo utakuja kulipatia uhakika siku chache zijazo.
Mtu akisema tofauti na chama chako tu basi ni mpiga ramli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…