Baada ya Rais kuangukia pua Mahakamani huyu DC atarejeshwa Kazini ?

Inawezekana alikua hata afisa mtendaji wa Kijiji au kata kabla ya kuwa mkuu wa wilaya Kwa hiyo kurejeshwa SI tatizo,Kwa sababu sio lazina awe DC lamsingi arejeshwe kazini,na kanuni za kazi muajiri anaweza kukupangia kazi mahala popote au kukubadilishaia kazi,Kwa hiyo no problem
 
Bahati mbaya uDC sio cheo cha kiutumishi[emoji22]
 
Mtumishi wa pssf sijui?
Hoja yake ilikuwa arudishwe kwa mwajiri wake kabla ya udc
 
""KAMATI YA RAIS YA UTEUZI NA UTENGUZI, YASHINDWA MAHAKAMANI ""
Rais kama rais huwa hana data zote za mtu mmoja mmoja katika ngazi zote za uteuzi au utenguzi, bali ipo kamati ambayo hufanya hayo!, vichwa vingine vya habari huwa vya hovyo sana,
Rais ni msemaji tu, baada ya kutayarishiwa na watendaji wengine, wenye gazeti wanalengo gani kwa kichwa cha habari cha namna hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…