Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Hata hivyo msingi wa kesi haukuwa kutenguliwa bali kustaafishwa.""KAMATI YA RAIS YA UTEUZI NA UTENGUZI, YASHINDWA MAHAKAMANI ""
Rais kama rais huwa hana data zote za mtu mmoja mmoja katika ngazi zote za uteuzi au utenguzi, bali ipo kamati ambayo hufanya hayo!, vichwa vingine vya habari huwa vya hovyo sana,
Rais ni msemaji tu, baada ya kutayarishiwa na watendaji wengine, wenye gazeti wanalengo gani kwa kichwa cha habari cha namna hii?
Maana yake aliondelewa sio tu udc bali hadi utumishi wake.
Unaweza kutenguliwa lkn ukabaki na utumishi wako ukilipwa mshahara na ukisubiria kupangiwa majukumu mengine