Baada ya Rais kuangukia pua Mahakamani huyu DC atarejeshwa Kazini ?

Hata hivyo msingi wa kesi haukuwa kutenguliwa bali kustaafishwa.

Maana yake aliondelewa sio tu udc bali hadi utumishi wake.
Unaweza kutenguliwa lkn ukabaki na utumishi wako ukilipwa mshahara na ukisubiria kupangiwa majukumu mengine
 

Watu wanaposema kuwa kila kitu ni rais rais si sawa, hukumu hii inakazia utawala bora. Na ili utawala bora upatikane ni muhimu rais kupunguziwa madaraka. Ziundwe tume huru kushughulikia masuala mbalimbali ya kuzjiri, kuteua na kutimua.

Ili rais awe huru kufanya kazi zingine badala ya kushiriki ktk mchakato wa kuteua na kutengua ambapo ni kusoma kwa umakini na kusaini barua kibao, huku ni kupoteza muda adimu alionao rais. Mifumo ndiyo ijengwe na rais. Hili litapatikana na kumuweka huru rais kwa kumpunguzia majukumu kupitia Katiba Mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…