Bombabomba
JF-Expert Member
- Dec 23, 2017
- 1,886
- 2,231
Chadema tuliwaonya humu jamii forum
Tukatukanwa kila aina ya Matusi,matusi ya chadema huniharibia mudi ya kuchangia
Kumbe! Hahahaaaaa. Umekuwa mkweli mkuu wangu bia yetu. Ila Nawe unachangia sana utumbo tuuuu, punguzaga kidogo mdau. Nyuzi zingine ziachage tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda kuna jambo anataka lifanyikeMungu kwa nini unayaruhusu haya wakati huu tulionao? ?
Naye zamu yake itafika tu
Ha ha ha haaa....Hilo jeshi la Polisi lilitakiwa litamke kwenye hiyo barua yake linatoa agizo hilo kwa mamlaka yapi ya kisheria na wanawaita kuwahoji kwa tuhuma zipi?
Lisipende kutumika kama Chambing (Toilet Paper)
Seriously?Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar, limesema baada ya RC Makonda kutoa saa 24 kwa Wabunge walioko jijini humo kurejea Bungeni, limewataka wale ambao bado hawajaondoka, kuripoti kwa hiyari yao katika ofisi ya Upelelezi, Kanda Maalum kwa mahojiano
View attachment 1442715
aya wababe sisi tunawasikilizia tu nyie tunishianeni misuli mkimaliza tuambieni mmetoka ngapi ngapiJeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar, limesema baada ya RC Makonda kutoa saa 24 kwa Wabunge walioko jijini humo kurejea Bungeni, limewataka wale ambao bado hawajaondoka, kuripoti kwa hiyari yao katika ofisi ya Upelelezi, Kanda Maalum kwa mahojiano
View attachment 1442715
Acha uboya basi we zero brainChadema tuliwaonya humu jamii forum
Tukatukanwa kila aina ya Matusi,matusi ya chadema huniharibia mudi ya kuchangia
Mlikuwa mnasema ooh Makonda anatekenya tu ili watu wajue mara oooh hayuko serious bali ni political game,haya sasa upuuzi ambao mlidhani hawezi kuufanya ndio anaufanya halafu yuko serious,mbaya zaidi hadi jeshi linajishusha heshima na kukubali kutumika kama toilet paper!ShameBaada ya hii barua wabunge wote usiku wa leo watakuwa njiani kwenda kujiweka karantini dodoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kuwa hamna kipengele chochote cha sheria kilichovunjwa na waheshimiwa wabunge nawashauri waendelee kuji quarantine nyumbani kwa kila muheshimiwa mbunge kwani ni haki yao ya kikatiba kuhakikisha wanaepuka hatari ya kupata maradhi ya hatariJeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar, limesema baada ya RC Makonda kutoa saa 24 kwa Wabunge walioko jijini humo kurejea Bungeni, limewataka wale ambao bado hawajaondoka, kuripoti kwa hiyari yao katika ofisi ya Upelelezi, Kanda Maalum kwa mahojiano
View attachment 1442715