usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,977
- 14,103
CCM akili zenu zmekaa tu ki tissue tissueChadema tuliwaonya humu jamii forum
Tukatukanwa kila aina ya Matusi,matusi ya chadema huniharibia mudi ya kuchangia
stidy
CCM akili zenu zmekaa tu ki tissue tissueChadema tuliwaonya humu jamii forum
Tukatukanwa kila aina ya Matusi,matusi ya chadema huniharibia mudi ya kuchangia
Mungu hajawahi kuwepo , hayupo na hatakuja kuwepo.Mungu kwa nini unayaruhusu haya wakati huu tulionao? ?
Hao ni wezi wameiba hela bungeni wamechukua pesa za bunge wakati hawako bungeni kuzifanyia uzururaji na uchangudoa
Ukiiba pesa ya MTU yeyote au ya bunge hiyo kesi haimhusu spika peke yake na polisi inawahusu wamechukua pesa za bunge kiwizi ni polisi case hiyo piaMtu wa kudeal na Wabunge ni Speaker na tayari keshatoa maaizo ya kwamba hawa watu warudishe fedha za posho walizolipwa kabla hawajaamua kuji-isolate
Hilo tamko la police,wee unaona ni sahihi au?Chadema tuliwaonya humu jamii forum
Tukatukanwa kila aina ya Matusi, matusi ya chadema huniharibia mudi ya kuchangia
Halafu ile miamba iwapasuao kichwa ndio imenasa mungu wa chama cha kikomunisti ashapatia sababuKumekucha...mpango ni Kufuta CHADEMA Kama Chama kikuu Cha upinzani Tz
Kazi ya police ni kutii maagizo ya wanasiasa
Kwa hiyo.mungu aendelee kuruhusu wezi Wa posho za bunge waendelee kuzitafuna dar es salaam wakati walipewa kwa ajili ya vikao bungeni Dodoma? Mungu sio mwehu kama weweMungu kwa nini unayaruhusu haya wakati huu tulionao? ?
Chadema tuliwaonya humu jamii forum
Tukatukanwa kila aina ya Matusi,matusi ya chadema huniharibia mudi ya kuchangia
Mkuu huyo jamaa usiwe unam quote, ni mjinga mmoja hiv, mu ignore tu
Hizi ni akili za Mambosasa kabisa wala hajasingiziwa.Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar, limesema baada ya RC Makonda kutoa saa 24 kwa Wabunge walioko jijini humo kurejea Bungeni, limewataka wale ambao bado hawajaondoka, kuripoti kwa hiyari yao katika ofisi ya Upelelezi, Kanda Maalum kwa mahojiano
View attachment 1442715
Makosa yaoHivi hao wabunge wamevunja sheria yoyote?
Kuna watu hawana kazi za kufanya.
Aisee 😳 hivi unaifahamu Penal Code?Makosa yao
1 wameramba posho halafu wametoroka bungeni
2 wamewadanganya wapiga kura kuwa wanajiweka karantini kumbe wanazurura mitaani na kukesha mabar