Baada ya RC Makonda kutoa saa 24 kwa Wabunge walioko Dar: Jeshi la Polisi lawataka Wabunge walioko Dar kuripoti Kituoni

Baada ya RC Makonda kutoa saa 24 kwa Wabunge walioko Dar: Jeshi la Polisi lawataka Wabunge walioko Dar kuripoti Kituoni

Hv yule mbunge jangili aliyekamatwa na ma mamasasi mingi mingi yeye alikuwa na ruhusa ya spika eeh
 
Mlitaka wafanye mambo gani ili mfurahi? Ni lini ccm mliipenda Chadema? Hivi CDM kikifutika kule kwenu Kongwa kutakuwa na maendeleo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kongwa? Kwanini kusiwe na maendeleo hata Kama chadema haipo,kwani serikali inatekeleza ilani ya chadema au ya CCM? Ilani ya CCM ndio inayotumika sio kongwa tu hata Jimbo la HAI, na chadema iwepo isiwepo hakuna kinachozidi Wala kupungua, halafu chadema haionewi ila inatafuta kiki zisizo na faida utavunja vipi Sheria halafu usichukuliwe hatua kisa tu wewe ni chadema?

Screenshot_20200507-193453.jpg
 
Uki chaaa huu

Sent using Jamii Forums mobile app
Jela unajua watu huenda kirahisi wizi Wa posho waweza mfikisha MTU jela na asiamini kilichomkuta

Muulize lema aliota tu ohhh magufuli kafa alisota ndani miezi sita na ndoto yake hajawahi ota tena na hakuamini kikichomkuta

Hizo posho rudisheni kikiwakuta cha kuwakuta msipige yowe tumeshawastua hamtaki sio kesi
 
Kwa hiyo.mungu aendelee kuruhusu wezi Wa posho za bunge waendelee kuzitafuna dar es salaam wakati walipewa kwa ajili ya vikao bungeni Dodoma? Mungu sio mwehu kama wewe
Kesi ya kina Kangi imeishia wapi? Afu Covid 19 ipo Geita muda wowote inatinga chattle! Nyie mna polisi wao wana Mungu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi dharau zote zinasababishwa na sisi wapiga kura laiti tungekuwa na bunge lenye uwiano sawa wa chama tawala na vyama vya upinzani sizan km haya yote yangetokea. Hata uhuru wa kuzunguka ndani ya nchi n ishu tena baada ya ule uhuru wa kuongea.
 
. Hata uhuru wa kuzunguka ndani ya nchi n ishu tena baada ya ule uhuru wa kuongea.
Kuzunguka kwa hela yako una Uhuru na hakuna Wa kukufuata lakini kuzunguka kwa pesa ya posho uliyoiba bungeni hilo halijubaliki hapo huna Uhuru polisi lazima wakufuate na pingu na virungu
 
Utawala wa sheria tz upo mochwari tunasubiri kuuzika muda wowote
 
Na kwa jinsi ambavyo hawa wabunge hawajui kupangua kesi usikute wakakutwa na kesi ya kujibu bado pia mahakamani wakashindwa kesi hapo ilitakiwa alie toa amri ille ndo aitwe kuhojiwa polisi
 
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar, limesema baada ya RC Makonda kutoa saa 24 kwa Wabunge walioko jijini humo kurejea Bungeni, limewataka wale ambao bado hawajaondoka, kuripoti kwa hiyari yao katika ofisi ya Upelelezi, Kanda Maalum kwa mahojiano

View attachment 1442715

Jamani mwenzenu nilifikiri ni utani wa mitandaoni kumbe kweli? bado najiuliza wanajenga au wanabomoa? je ni makusudi au bahati mbaya?
 
Kuzunguka kwa hela yako una Uhuru na hakuna Wa kukufuata lakini kuzunguka kwa pesa ya posho uliyoiba bungeni hilo halijubaliki hapo huna Uhuru polisi lazima wakufuate na pingu na virungu
Ok.. kutokana na hilo la wizi wa fedha amri ya kukamatwa kwa hao wabunge inatakiwa utoke kwa mkuu wa mkoa au kwa spika?
 
Ok.. kutokana na hilo la wizi wa fedha amri ya kukamatwa kwa hao wabunge inatakiwa utoke kwa mkuu wa mkoa au kwa spika?
spika ni kamanda wa polisi? lema alipokamatwa,akina sugu walipokamatwa nk amri ilitoka kwa spika?
 
spika ni kamanda wa polisi? lema alipokamatwa,akina sugu walipokamatwa nk amri ilitoka kwa spika?
Polisi atamkamata mtu bila kupewa mashtaka yoyote ya mtuhumiwa. Km ni ishu ya pesa spika alishatoa tamko la wabunge hao kurudisha fedha hizo sasa makonda yeye anawezaje kulazimisha wabunge hao warudi bungeni. Je ni kweli anamamlaka hiyo. Tuweke hisia za kishabiki pembeni
 
Mi nasubiri Makonda akamfurushe Mh Zitto, hapo ndo ntajua kweli Jiji hili ni mali yake..

Maana Mh kasema hatoki na mwenye msuli akamtoe..

Makonda akifeli basi na yeye atakuwa mpiga domo kama wapiga domo wengine tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Polisi atamkamata mtu bila kupewa mashtaka yoyote ya mtuhumiwa. Km ni ishu ya pesa spika alishatoa tamko la wabunge hao kurudisha fedha hizo sasa makonda yeye anawezaje kulazimisha wabunge hao warudi bungeni. Je ni kweli anamamlaka hiyo. Tuweke hisia za kishabiki pembeni
anawahimiza warudi kurudisha pesa za umma zinapoteza thamani kwa kukaa mikononi mwa wezi bila riba hawezi kukaa kimya kwa wezi waliojificha mkoani mwake yeye ni kiongozi wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa sasa wezi wako mkoani mwake wameiba pesa za bunge unataka aendelee tu kuwachekea?
 
Back
Top Bottom