Centia2
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 1,018
- 1,663
Kwahiyo kuitwa kuhojiwa ndo kuhukumiwa??Chadema tuliwaonya humu jamii forum
Tukatukanwa kila aina ya Matusi,matusi ya chadema huniharibia mudi ya kuchangia
KWELI JINA LA KITABU HUSADIFU YALIYOMO "BIA YANGU"!!
Sent using Jamii Forums mobile app